Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
wakiingia uwanjani wanasahau matatizo!!!! hata mimi enzi zangu nikiingia uwanjani hata kama sijala nasahau mziki wake hata waliokula wanachemsha!!!
na we ulikua mchezaji ??? enzi hizo
wakiingia uwanjani wanasahau matatizo!!!! hata mimi enzi zangu nikiingia uwanjani hata kama sijala nasahau mziki wake hata waliokula wanachemsha!!!
kweli kabisa
Nigeria tumieni hizo opportunities jaman
hahahahaha,ikute unamuuliza Mohamed mwameja,hahahaha vipi leo upo na wanaija?na we ulikua mchezaji ??? enzi hizo
na we ulikua mchezaji ??? enzi hizo
na we ulikua mchezaji ??? enzi hizo
kweli kabisa
Nigeria tumieni hizo opportunities jaman
anaitwa nani huyu alietolewa kwa kuumia
Huenda bana..mzima HoE?
Haya pigeni hawa wafaransa
ni France anybird atakua kachanganya kidogo
hahahahaha,ikute unamuuliza Mohamed mwameja,hahahaha vipi leo upo na wanaija?