Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Jamani siamini ninachokisoma livescore kwenye simu yangu.hadi dk ya 87 ilikuwa 1-0,nimeupdate scores baada ya dk 3 tu naona 2-1,ikabidi nije kucheki reaction za wadau jf naona daah!hebu acheni utani wakuu,huu mpira ulikuwaje?
hahaha we mkuu usinichekeshe sana habari ndio hiyooo. Holland hao