Carseloi
JF-Expert Member
- Jan 28, 2014
- 316
- 103
Wamepita kwa tabu
Haha mkuu tumepıta kwa ''penalt'sıo tabu tena'
Wamepita kwa tabu
Mbombo ngafu!!
Haya wale walionitakia BAN njooni tuongee sasa
Hakuna cha haterz hapa ni bahati tu
Shenzi type!
Mpaka nimeanza kuharisha ghafla usiku huu.
Huu mpira ulikuwa na mihemuko sana kwa kwa kweli.!!
Alaa, kumbe mbovu ndiye aliyepita!!
uholanzi watawanyonyoa tu..
Vaa miwani
Shenzi type!
Mpaka nimeanza kuharisha ghafla usiku huu.
Huu mpira ulikuwa na mihemuko sana kwa kwa kweli.!!
Sijapata ona Brazil mbovu kama hii na wakikutana na uholanzi tano zinahusika hapa