Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,387
- 10,965
Leo noma sana...hii #teamBrasil ikikutana na toto futiboli ya Van Gaal si itakuwa balaa!?
#teamBrasil all the way...
#teamBrasil all the way...
Mpira unachezwa graundini,wewe unacheza mdomoni
Nıpo kaka dua za mwıshoo#team brazıl
Umebadili NIA?
Dah..hapa sioni timu ya kuizuia Uholanzi isiondoke na hili kombe mwaka huu
hiki kikosi cha scolari hovyo kabisaa hamna kitu hapa.
Neymar anaremba sana...