Carseloi
JF-Expert Member
- Jan 28, 2014
- 316
- 103
Brazil hawatofika robo fainal,kudadeeki Cameroon kaona nyavu zao
Watafika tu mwendo huu huu!!
Brazil hawatofika robo fainal,kudadeeki Cameroon kaona nyavu zao
Niambie timu ambayo haijaonyesha udhaifu hadi sasa!
Wala usikimbie kakaangu hii mechi ni for fun.
Haka kajamaa nako kwa sifa,,,,,Thanks Neyma
Tembo vipi lipeni na hili.