Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,164
- 28,815
Wakuu nawafuatilia kwa ukaribu..
Nilishajitoa kushangilia timu za Africa..
Brazil piga hao Cameroon
Nilishajitoa kushangilia timu za Africa..
Brazil piga hao Cameroon
Unajitafutia stress ndugu.Wakuu nawafuatilia kwa ukaribu..
Nilishajitoa kushangilia timu za Africa..
Brazil piga hao Cameroon
Neymer tayar keshaharibu dakika 16 brazil 1-0 camerun
Hawa wa Kameruni mbona wajinga hivyo....ndo nini sasa kumsukuma Neymar?
Hawa wa Kameruni mbona wajinga hivyo....ndo nini sasa kumsukuma Neymar?