World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

10502227_909574872391694_1209156434958811125_n.jpg



10397830_909574832391698_5720011879551520111_n.jpg



10446523_909574835725031_6305687700626814287_n.jpg

Boateng Brothers


10492250_909574815725033_4021063517415959916_n.jpg
 
Mbona wajerumani wako nervous sana hata mashabiki wao leo?huenda sie tunachukulia poa timu zetu wakati wazungu tumbo joto.labda wana kumbukumbu na mbilinge za akina Pele,bao la pili goooo Gyan

wajerumani wanawaogopa ghana, tatizo ghana wanawapa confidence wajerumani.
 
#Dakika90 hazijafika tu!!! Mbona leo zinakawia sana? lol!!!
 
Brazil hawapendi europe naona mechi ya pili hii nawasikia wanazomea timu za ulaya na kushabikia za Africa..Mungu wangu huyu anafanya nini pale,lile pande si angempa Gyan afunge?haka ka Jordan kananiboa kweli.goli la tatu lile lilikuwa aisee dah!wenzetu wakija golini kwetu hawakosi hivi!
 
Leo tukikosea kuandika tusamehane manake Ayew kataka kupiga kichwa la tatu namie nimetaka kuzama nayo nyavuni safi sana ila watulie Ghana wasifanye Fujo Mashabiki asilimia kubwa Ghana Leo hapa na huko Brazil.
 
Back
Top Bottom