Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
mnawakosaje kosaje
Yaani gyan anawakosa kosa sana ushindi hapa lazima
mkuu huangalii gemu nin?
mnawakosaje kosaje
Hawa marefa sijui wana ajenda gani na timu zetu.jerumani kaachiwa offside, gyan kanyoshewa kibendera kwa same situation.
Timu za africa zinavuma na kufifia.
1. 1990 Cameroun ya Rodger Milla.
2. 1994 Nigeria ya kina George Finidi
3. 1998 Nigeria ya kina Sunday Oliseh
4. 2002 Senegal ya Diof
5. 2006 ?
6. 2010 Ghana ya Asamoh Gyan
7.2014 ?
daaa Ghana match hii wanatakiwa kushinda!