Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
ukiwa shabiki team za Africa ni kujitakia presha tu
Drogba kaleta gundu.
Kusema ukweli, huyu mfungaji wa goli la pili ni hodari
Tembo kang'olewa jino la pili kinachofuata ni kuchuna ngozi![/
Hawa Colombia wachawi...ngoja niendelee kulipiliza.....tusharudisha jino moja.....
wazee WA bagamoyo endeleeni kuchoma vifuuu.......