Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,163
- 28,808
Laana ya kukosa uzalendo na kudai posho inawatafuna Cameroon..
daaa wazee wa posho.Kifo cha Cameroon kimetimia...
Mungu wangu chacharito ana ingia
daaa wazee wa posho.
Duuu nimecheka sana.Kesho Haruna Moshi na Na Athuman Idd Chuji watakua ma_analysts wetu kupitia TBC.
Hawa mexico hawajawahi kuifunga Tz Hata mechi moja toka tupate uhuru.