Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,866
Masikini Spain! 1-0
Kipa wetu Bravo kam kaumia mkono vile ila dua zote kwake isiwe serious sana ili amalize gemu
Hongera zenu holland..
Utani utani mara kweli bingwa mtetezi nje
Ila si goli a kitaalam sana...ni kama bahati tu..