palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
Penaati tunapata Germany hapa na tunaandika bao na Muller
sisi 1 wao bila
Penaati tunapata Germany hapa na tunaandika bao na Muller
Yaache tu yafungane mabeberu hayo, kiboko yao anaunoa huko.Goooo... Muller 1-0 Portugal
Gemu limeisha.
Hamna penalti pale, huyu refa sijui vipi.
Hiyo sijui wanaiita taaluma sijui nini.nani alaumiwe?
Hawa wanapenda wakituona sie weusi tukicheza usiwalaumu leo.TATIANA na Bantu lady leo mmelala?
Sitaki presha miye, kwenye mechi hii sina team. Nitaangalia mpira kwa raha.
Sehemu anayokwenda Cr7 mimi nipo, ni shabiki wa huyu jamaa