Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
yaani hapa tulipokaa mamluki wako Argentina wakienda tu goal hao wanaamka na kuishia kusema haaaaa.... wakifunga sasa sijui
angalia ID yako umelogwa nini
heshima haiuzwi dukani
Shida hiyo...atakuwaje fair kwa Argentina kweli?!?
wewe jamaa kaka unasinzia kalale,haiwezekani unarukia watu ovyo tu
messiii goooooo