Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,359
mmh ngoja nianze kujiandaa kisaikolojia kwa matokeo yoyote.
Afadhali umekubali! Tunawafunga 3 tu kwa bila!
mmh ngoja nianze kujiandaa kisaikolojia kwa matokeo yoyote.
nitakua nae tu..... I will do anything for him.....
nimeingia TBC bahati mbaya,namkuta mchambuzi albino anamfokea messi,ina maana ye anajua kuliko kocha
Messi anarudi sasa na nguvu mpya
Bby mbona unalalamika sana.....wacha mfungweee