Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,760
Jamani huyu mwalimu Kashasha anajua ufundi wa ndani wa soka!
ma superstar uchwara wa bongo. kulikua na bonge la ugomvi.
Niliwahabarisha kuwa goli n moja bila ,au tofauti ya goli moja
Najua mtaumia sana wapenzi wa ARG kwani wanaonekana wamechukua umiliki wa kucheza ,hilo si tatizo kwa mshindi kwani linahitajika goli moja tu , heasabu dakika kumi na saba za mwanzo kama si hivyo basi dakika 23 za mwisho
Kumbuk atu hii ni lala salama !![]()
hawa si wafungane.......dah.....game hii vp?
Mwalimu Kashasha ndio nani?
hawa si wafungane.......dah.....game hii vp?
mmmh huu usingizi umetumwa au?