Yani niliona hili! Yani wakorea wanazuiaaaaa tuu hakuna kutafuta goli! Washachoka maskini mweeee.. Ball possession 100% to Brazil hii mbayaaaaa... Sasa mvua yaweza fuata... But mmejaribu si kama Taifa stars hovyooo kabisa!
Mmh Robinho nae! Anyway bado nampa nafasi baada ya kupaisha haya 6 la 7 litaingia hahahaa..
By the way uyu kipa wa korea anatoka sanaaaa! Kumbe walikuwa wanamsaidia mabek tu na ndo washachoka!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.