Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,123
Spain deservedly won the match..perhaps the most balanced team in Woza..no doubt.
Pweza Mchawi inabidi atafutwe achemshwe watu wagonge Supu LoL!
:violin::violin::couch2::typing::horn::horn::horn::horn:
Hongera mkuu, wengine maumivu tu hapa
hii haina mjadala kabisa mkuu,According to Rooney, Iniesta is World's best player, maybe he is right.
pole sana ndio maisha...next time mtakuwa nyie.....he he he
pole sana mkuu, ile siku ya ghana na uruguay nilijaribu muarobaini kupunguza maumivu na ulisaidia sana. halaf na fabregas anakimbia emerati dah! pweza limekula kwako mwaka huu!hongereni washabiki wa spain mie nakula kona tutakutana kwenye majukwaa ya premier league august 14.nime enjoy sana kuangalia mechi zote za world cup na nyie wote humu ndani.
kila lakheri wote.