RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,807
- 129,672
waingereza wanajisifia utasema timu yao ndo iloingia fainani!
eti wanasema timu yao ya marefa imeingia fainali...teh teh teh teh
waingereza wanajisifia utasema timu yao ndo iloingia fainani!
Webb isipocheza Man U huwa objective enough..Bwe he he he..
hehee wapinzani utawasikia tu. By the way last EPL Chelsea was highly favoured, protected and unfairly boosted by referees. Tuone msimu ujao itakuwaje.
Namtakia Webb kazi njema, anaelekea kurithi mikoba ya Corina.
leave Maan utd alone....
Media hypes again! Kwa mechi yachezwa lini? Kama ni Jumapili Paul the Octopus might be very wrong