World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

wajapan wamekufa kiume, Akudo atajilaumu sana...ndio game...ushindani ni pamoja na kukubali kushindwa
kudos kwa Paraguay robo finali first time ever!
 
penalty shoot-out :
E. Barreto [1 - 1]Y. Endo
L. Barrios [2 - 2]M. Hasebe
C. Riveros [3 - 2]Y. Komano
N.H. Valdez [4 - 3]K. Honda
O. Cardozo [5 - 3]

Asante mkuu kwa majina. Mwenzio yalinishinda kungamua.
 
Asavali sikuangalia hii mechi ya vimburu na Paraguay, its painful to loose 2 hours of ur life to watch a stalemate.
 
utashiri wangu unaendelea kusimama mpaka sasa 100% correct.
 
c'mon SIMAO, C'mon ALMEIDA ,c'mon TIAGO. SPAIN wanafungishwa virago leo (hii haina mjadala kabisa)
 
this is the big one......mvua inanyesha itawasaidia akina ronaldo,cavalho wamezoea baridi na mvua ya EPL......
leo sina timu hapa....mshindi niko upande wake.....
 
Mhhh,

Mimi yangu macho. Ngoja nijaribu tu kuangalia ndinga. Nitashangilia mshindi baada ya 90 au 120 min. Yaliyompata Japan leo si madogo. Ngoja nitafute kinywaji ili nifaidi uhondo!
 
portugal:eduard b.alves,costa,cavalho,coentrao mereiles,pepe,tiago,ronaldo,simao hugo almeda

spain:cassila,ramos,pique,puyol,capdevilla alonso,xavi,iniesta,busquet torres,villa
 
c'mon SIMAO, C'mon ALMEIDA ,c'mon TIAGO. SPAIN wanafungishwa virago leo (hii haina mjadala kabisa)

hizo timu zako unazoshangilia mkuu mpaka sasa hivi ulitakiwa ushabadilisha jina umekuwa panadol lol maanake ni za kuumiza kichwa tu lol.

mie leo upande wa Spain kabla sijaaanza kuyataarisha mavuvuzela kwa ajili Ghana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…