duuuh south africa wameshaharibu sasa.watu watatu wamewaachia peke yao.sasa hapa noma manake mexico wana uwezo mkubwa wa kufunga la pili kuliko south africa .
watokeo mazuri south africa wamepata point moja yao kwa kuwa wenyeji wa mashindano na mexico wamepta point moja kwa kuonesha kiwango zaidi ya south africa.
Si matokeo mabaya. Timu zote zimefanya makosa ambayo yamewanyima goli za wazi. RSA wamecheza vizuri kipindi cha pili kama nilivyotegemea. Kwani walimaliza vizuri kipindi cha kwanza na hiyo imewapa nguvu!
Watazamaji wa ITV (UK) wamemchagua Tshabalala "The man of the Match". Nadhani anastahili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.