World Bank yaipongeza Kenya 2007 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

World Bank yaipongeza Kenya 2007

Discussion in 'International Forum' started by Kenyan-Tanzanian, Nov 9, 2007.

 1. Kenyan-Tanzanian

  Kenyan-Tanzanian JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2007
  Joined: Nov 7, 2006
  Messages: 307
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  http://www.eastandard.net/news/?id=1143977166&catid=14

  Sio siri tena kwamba Kenya imepiga hatua za kimaajabu kiuchumi na kisiasa tangu wamtimue mamlakani kigogo wa siasa za bwana kubwa Afrika, Daniel Moi.

  Hivi sasa Kenya imetunukiwa kikombe cha pongezi pamoja na na nchi zingine za nne ikiwemo Mozambique, Mauritius, Bukina Faso na Ghana.

  Afrika Mashariki sasa itawezatena kujivunia KENYA kama ilivyojivunia miaka ya 60s.

  KENYA HOYEE!
   
 2. Kenyan-Tanzanian

  Kenyan-Tanzanian JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2007
  Joined: Nov 7, 2006
  Messages: 307
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  http://www.eastandard.net/news/?id=1143977166&catid=14

  Sio siri tena kwamba Kenya imepiga hatua za kimaajabu kiuchumi na kisiasa tangu wamtimue mamlakani kigogo wa siasa za bwana kubwa Afrika, Daniel Moi.

  Hivi sasa Kenya imetunukiwa kikombe cha pongezi pamoja na na nchi zingine za Afrika nne ikiwemo Mozambique, Mauritius, Bukina Faso na Ghana.

  Afrika Mashariki sasa itawezatena kujivunia KENYA kama ilivyojivunia miaka ya 60s.

  KENYA HOYEE!
   
 3. n

  ndambe New Member

  #3
  Nov 10, 2007
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndambe

  hongera kenya, munastahili sifa, lakini pia iwe challenge kwa Tanzania ili mwakani nasi tuwemo, mbali na kenya lkn pia Ghana inaonyesha maajabu siku hizi kila katika sekta basi wamo, na siri kubwa ya kwao ni kutilia mkazo katika elimu na pia kuwatumia wasomi wao waliokuwepo nje vizuri pamoja na kuimarisha demokrasi.   
Loading...