ni ujumbe mzuri wa matumaini yanayotia nguvu ila kwa JF hii niijuayo uzi huu hautapata wachangiaji ukimwi unauma jamani acha kabisaWhen Gloria Ncanywa was told she was HIV positive she thought her life was over, yet 12 years on she is alive and bringing hope to fellow sufferers.
To all HIV positive…..it not the years in life that count, it's the life in your years.
World Aids Day 2013: 'I am no longer planning for my funeral’ - Telegraph
View attachment 124220
ni ujumbe mzuri wa matumaini yanayotia nguvu ila kwa JF hii niijuayo uzi huu hautapata wachangiaji ukimwi unauma jamani acha kabisa
well said and point taken mkuuWakuu hasa uliotangulia mmesema kweli
tupu kuhusu hii siku adhimu sana maana
kwaukweli maradhi haya yapo lakini hasa
Sisi Watanzania wenyewe ndiyo yanayotuhusu
sana kila kona ya Nchi hii hali sio nzuri kuhusu
haya maradhi pia Elimu bado sana.
Yaani asilimia kubwa ya Watanzania hasa kule
vijijini hawana elimu yenye kukidhi ya
kuelewa hawa maradhi.
watu watachangia kote ikifika kwenye suala hili baas matumbo yanajaa gesiNi kweli mkuu,,sisi watz ni watu ambao hatupendi kujishughulisha ma mambo magumu yanayoumiza vichwa,,sisi ni wepesi sana kucomment mambo ya ushabiki wa siasa, mapenzi na ulevi....siasa zenyewe zimetushinda,,watz wamebaki kuchocheana na mambo ya udini na ukabila tu, wameacha mambo muhimu ya ustawi wa hili taifa,,inasikitisha sana lakini ndo tumeshakuwa hivyo.
ni ujumbe mzuri wa matumaini yanayotia nguvu ila kwa JF hii niijuayo uzi huu hautapata wachangiaji ukimwi unauma jamani acha kabisa
ni ujumbe mzuri wa matumaini yanayotia nguvu ila kwa JF hii niijuayo uzi huu hautapata wachangiaji ukimwi unauma jamani acha kabisa
hapana mkuu ni hofu binafsi za watu maana nje ya siasa na kazi zetu mambo haya bwana yanaguguna unafsia wa kila mtuUmesema ukweli, ukizingatia wengi wametumwa na Lumumba kwa kazi maalum, hapa hata kusoma hawasomi.
Hii thread japo ni ya ujumbe muhimu kwa wote hautashangaa Mods wakiipeleka kule kwenye mseto
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums