World Aids Day 2013: 'I am no longer planning for my funeral’

mkada

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
1,200
903
When Gloria Ncanywa was told she was HIV positive she thought her life was over, yet 12 years on she is alive and bringing hope to fellow sufferers.
To all HIV positive…..it not the years in life that count, it’s the life in your years.

World Aids Day 2013: 'I am no longer planning for my funeral’ - Telegraph

Gloria-Ncanywa-Mot_2747390b.jpg
 
Natambua kuwa hakuna Mtanzania ambaye hana ndugu au jamaa anayemfahamu kwa kufariki na ugonjwa huu au anaugua kwa sasa na yupo kwenye dozi,,,naomba tutumie fursa hii kutiana moyo na kukumbushana umuhimu na mbinu za kuushinda huu ugonjwa ambao umekaa pabaya sana.
 
When Gloria Ncanywa was told she was HIV positive she thought her life was over, yet 12 years on she is alive and bringing hope to fellow sufferers.
To all HIV positive…..it not the years in life that count, it's the life in your years.

World Aids Day 2013: 'I am no longer planning for my funeral’ - Telegraph

View attachment 124220
ni ujumbe mzuri wa matumaini yanayotia nguvu ila kwa JF hii niijuayo uzi huu hautapata wachangiaji ukimwi unauma jamani acha kabisa
 
Ni kweli mkuu,,sisi watz ni watu ambao hatupendi kujishughulisha ma mambo magumu yanayoumiza vichwa,,sisi ni wepesi sana kucomment mambo ya ushabiki wa siasa, mapenzi na ulevi....siasa zenyewe zimetushinda,,watz wamebaki kuchocheana na mambo ya udini na ukabila tu, wameacha mambo muhimu ya ustawi wa hili taifa,,inasikitisha sana lakini ndo tumeshakuwa hivyo.

Wakuu hasa uliotangulia mmesema kweli
tupu kuhusu hii siku adhimu sana maana
kwaukweli maradhi haya yapo lakini hasa

Sisi Watanzania wenyewe ndiyo yanayotuhusu
sana kila kona ya Nchi hii hali sio nzuri kuhusu
haya maradhi pia Elimu bado sana.

Yaani asilimia kubwa ya Watanzania hasa kule
vijijini hawana elimu yenye kukidhi ya
kuelewa hawa maradhi.
 
well said and point taken mkuu
 
Ni kweli mkuu,,sisi watz ni watu ambao hatupendi kujishughulisha ma mambo magumu yanayoumiza vichwa,,sisi ni wepesi sana kucomment mambo ya ushabiki wa siasa, mapenzi na ulevi....siasa zenyewe zimetushinda,,watz wamebaki kuchocheana na mambo ya udini na ukabila tu, wameacha mambo muhimu ya ustawi wa hili taifa,,inasikitisha sana lakini ndo tumeshakuwa hivyo.
watu watachangia kote ikifika kwenye suala hili baas matumbo yanajaa gesi
 
mi binafsi nakataa wanaosema UKIMWI UNAUA... anyway napenda sana watu majasiri wanaokutwa positive lakini wanaendelea na maisha kana kwamba hakuna lililotokea
 
ni ujumbe mzuri wa matumaini yanayotia nguvu ila kwa JF hii niijuayo uzi huu hautapata wachangiaji ukimwi unauma jamani acha kabisa

Nadhani uko right mkuu, members wengi wanaweza wasipitie mitaa ya thread hii.
 
Wa-Tanzania tunahitaji Elimu..Siyo ya Ukimwi tu..Elimu kwa ujumla wake..Ndiyo tutaokoka kwenye hili janga..
 
ni ujumbe mzuri wa matumaini yanayotia nguvu ila kwa JF hii niijuayo uzi huu hautapata wachangiaji ukimwi unauma jamani acha kabisa

Umesema ukweli, ukizingatia wengi wametumwa na Lumumba kwa kazi maalum, hapa hata kusoma hawasomi.

Hii thread japo ni ya ujumbe muhimu kwa wote hautashangaa Mods wakiipeleka kule kwenye mseto

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
hapana mkuu ni hofu binafsi za watu maana nje ya siasa na kazi zetu mambo haya bwana yanaguguna unafsia wa kila mtu
 
Kuna mahari nimeisoma utafiti mmoja wa TACAIDS,,,,,wanaume wanawafanya na wanawake mapenzi kinyume na maumbile eti ni tiba ya UKIMWI.....LOL....My people are destroyed from lack of knowledge. "Because you have rejected knowledge, I also reject you as my priests; because you have ignored the law of your God, I also will ignore your children.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom