Workplace/uni/college flings!..............are they ever a good idea? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Workplace/uni/college flings!..............are they ever a good idea?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KIKUNGU, Aug 30, 2012.

 1. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  They may be enjoyable and exciting at the time,workplace/Uni/college romances are not without their potential pitfalls-even if you are both otherwise single.Not only do you run risk of having doing infidelity witha married man/woman or fiance/fiencee of someone but having to face one another everyday if it all goes wrong,but you also have to negotiate your colleagues suspicious and concern,wether or not you remain an item.


  WanaMMU hebu naomba tu share experience zenu kwenye hili,are they ever a good idea or a bad one?   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  well there are good if u into FFF; find f*ck and forget
   
 3. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Wakati naanza kazi in my early twenties, nilipangiwa kwenye isolated place kama kambi hivi; na kazi yenyewe nilikuwa mdada wa kiafrika peke yake the rest ni wanaume na wadada wa kizungu. Of course married men walikuwepo na wake zao!

  Nilisoma Mazingira n l said to myself, siwezi kuwa na uhusiano na mtu yoyote hapa. My reasoning was, nitakuwa na mtu, baadaye ataniboa (tabia) nitamuacha then kwa vile nimezoea kuwa na mtu karibu nitapata mwingine; mwisho wa siku kila mtu atakuwa anaujua mwili wangu!

  So nimefanya kazi pale kwa uhuru, l could joke with anyone; na niliwafanya wote kama rafikis, kiasi kwanza mtu anashindwa hata kunitongoza, coz nikikuhisi na I will be watching u in ur eyes when talking etc.

  Kifupi; mahusiano kazini yanapoteza heshima na uhuru na sidhani kama yanaweza last sana bila maugomvi au drama. Ni mtazamo wangu lkn!

  College at least ni compound kubwa, wote mko young na kama uko sober si kitu cha kutilia maanani sana!
   
 4. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  kazini ni issue though zinatokea nyingi tu lakini mara nyingi zinakufanya usiwe huru!
   
 5. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kaunga,uliyosema ni kweli unakuwa uko huru na unakuwa rafiki wa kila mtu kama interests zenu zinafanana.Lakini je kama uko single,kazini ni sehemu moja wapo unaweza pata mwenzi wa maisha,hili unalionaje?
   
 6. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  mzabzab,kwa jamii zetu za kitanzania FFF,kama ulivyo i-term na hasa kipindi hiki cha UKIMWI hilo laweza kuwa janga,nilikuwa naishi Tanga kwenye early 90's wakati janga la UKIMWI ndio limepamba moto,BANDARI ilikuwa ni shirika linalipa vizuri wafanyakazi wake,na kama unavyojua kwenye pesa na drama huwa hiziishi,basi pale watu walipukutika kwa UKIMWI kuanzia GM mpaka wafagizi.Kwa hiyo FFF yaweza kuwa kaburi ni mwanzo,japo makali ya UKIMWI sio kama ilivyokuwa then
   
 7. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  snowhite,usiwe huru sawa lakini tufanyaje sasa tuache kabisa wakati kazini twaweza pata wenza wetu wa maisha?
   
 8. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Kwanini usikipe kila kitu na mda wake? Ukiwa kazini fanya kazi na ukiwa shuleni soma tuu. Jamani maofisini si sehemu nzuri ya kuwa na wapenzi, una haribu kazi, na unaonekana huna heshima kwa jamii.
   
 9. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Makungwi gfsonwin,Ashadii,sweetlady na wengineo na wazee wa busara mtambuzi,The boss,Bishanga,Mzizimkavu hebu njoni mtupe kauzoefu kenu huko makazini hizi flings zina pitfalls gani.Ningependa kumsikia EROTICA lakini sikuhizi sijui yuko wapi jamani,Kaunga shoga ako yu wapi jamani
   
 10. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nsuri,you'r right jamani lakini kwa wale ambao wako single makazini ni sehemu moja ambayo muda mrefu wa siku tunashinda,kwa hiyo ni rahisi kupata wenza wa maisha pia,je hili unalionaje
   
 11. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  [ Nsuri,you'r right jamani lakini kwa wale ambao wako single makazini ni sehemu moja ambayo muda mrefu wa siku tunashinda,kwa hiyo ni rahisi kupata wenza wa maisha pia,je hili unalionaje ]
  Ni sawa ila inahitaji umakini wa hali ya juu. Mimi binafsi siwezi kufanya kazi ofisi moja na mke wangu.Ili kuweka maadili ya kazi sawa ni bora mkawa mbali mbali, atleast unaweza kufanya maamuzi independent!
   
 12. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Pia inategemea na utashi wa watu wenyewe!
   
 13. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Ofcourse kama ilivyo kwa sehemu nyingine; kazini unaweza pata mwenza. Lkn inakuwa busara msiendelee kufanya kazi Ofisi moja baada ya ndoa, kwani si tu mtawaboa wengine lkn pia mnaweza msiwe fair kwa wengine na hata kuwa unconfortable around others.

  Na ndio maana mashirika mengine, mine included hawaruhusu couple kufanya kazi pamoja. Kama mmekutana hapa mkioana mmoja lazima aresign!
   
 14. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  sijakataa they do work!manake hata mi huyu shem wako nilimpata shuleni,tatizo inakuwa ngumu kujimksi na watu wengine japo kwa nia njema tu!yani kuna kaiuhuru flani hvi ambako wenziio wasiofungamana na upande wowote wanakua nako!
   
 15. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #15
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Yeah hiyo ni policy nzuri kwa kweli lakini bado watu wengi wanafanya FLINGS maofisini either kwa ajili ya tamaa ya pesa au ngono tu
   
 16. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #16
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  I beg to differ...FFF ni nzuri sana kama mtu ataweza kuwa na discipline ya kuhakikisha kuwa inabakia FFF tuu na sio chengine. hapo bandarini watu walikuwa na affairs hivyo kuna uwezekano mkubwa kuwa watu wanazoeana alafu unajua tena mtu unakamatia bila ndom. FFF mara nyingi inawashinda watu maana wanataka kukaa kabisa. alafu kibaja zaidi katika mazingira ya workplace ni kwamba ukimega mara moja au mbili alafu umpotezee basi anaweza anza fanya visa balaa na chuki kibao. my advise itakuwa FFF ifanywe sehemu kama chuo na hasa mademu ambao hamsomi kozi moja. hapo mdebwedo.
   
 17. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #17
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35

  mzabzab
  ,uko sahihi FLINGS kwa maana halisi ndio kama hiyo kwamba manakulana mara moja mbili kila mtu anashika njia lakini kwa discipline zetu za kiafrika watu wananogewa badala ya kuwa FLINGS zinakuwa full blown affairs na unakuwa mtandao tayari na kama mmoja ameathirika na kuna watu kutumia ndomu kwao ni dhambi,ndio hapo kaburi linakuwa ni mwanzo.
   
 18. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #18
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ni kweli snowhite,kufanya kazi na mke/girlfreind/mme/boyfreind sehemu moja sio nzuri,kuonana nyumbani na kazini masaa yote inapunguza muwasha washa,kwamba unakuwa humkumbuk/hum-missi mwenzako kivile na hilo nalo ni tatizo hasa kwa hawa wenzentu wanotaka attention za kufa mtu
   
 19. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #19
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  UMEONA ENH!
  ila attention nazo zikizidi siku ukiwa stressed tu na vitu vingine utasikia umeanza kudate na mtu mwingine!ah haya mapenzi bana mi hata siyaelewi kipindi kingine!
   
 20. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #20
  Aug 30, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wee acha tu snowhite mapenzi ni kizungu zungu kitupu
   
Loading...