Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,120
hawa watu....Hapana, hatukua tunatumia kinga, tuliacha kutumia baada ya kupima human immuno diffeciency syndrome (HIV), baadae tuliendelea Bila kinga
Mkuu mm sifahamu kama ni kicheche, hizi taarifa nimeelezwa, ww unatufahamu watanzania tulivyo linapokuja suala la information, ni kweli hawa ni rafiki zangu Lakin siwezi kujua wana agenda gani, may be it is true may not, that's way natafuta namna ya kufahamu ukweli ili maamuzi yangu yawe sahihi mwisho wa sikuHuyu mwanamke ni kicheche na wewe unajua
hutaki tu kuuona ukweli
Mkuu mm sifahamu kama ni kicheche, hizi taarifa nimeelezwa, ww unatufahamu watanzania tulivyo linapokuja suala la information, ni kweli hawa ni rafiki zangu Lakin siwezi kujua wana agenda gani, may be it is true may not, that's way natafuta namna ya kufahamu ukweli ili maamuzi yangu yawe sahihi mwisho wa siku
Otherwise nashukuru kwa ushauri wako
Katika hali ya kawaida,unafikiri anaweza kukubali kirahisi kuwa ametembea na hao wahusika? Akili ni nywele,na wewe pia unazo.Mkuu suala sio mzungu, ishu ni kuwa niamini hizi habari au la? Hilo ndio linanisumbua, Mchumba anadai si kweli na anasimamia hapo
Nimelipenda hili jibu,limekomaa kiakili.Kanipendea nn hilo swali limekua gumu kidogo kujibu, tulipendana tu kama ambavyo watu wengine wanapendana
Watu mnajua kuchangamkia fursaaKumbe wazungu nao wanalilia penzi?
Hebu niunganishe na mimi na huko ofisini kwenu
Teh teh...ngoja nizamie sredi zake kwenye server.Mdada wa mbulu leo kawa mzungu
Hivi hata wa 39 ni boys?. Ha ha haa..sikuwahi kufikiri hili.Just be smart boy, mapenzi yasikupore uwezo wa kufikiri!