Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,643
- 1,177
hakikanaona baadhi ya maneno nikiunganisha hapo ni matusi,YOLO,YODO.............
hakika
ahaaaa kweli kabisaKuna ukweelii
Ukuje na feedbackngoja nimtext mbaby wangu
Aaaah! Wapo wengi sana.Na wanapenda kweliSo funny.........kweli second year si tayari anakuwa matured kiasi fulani au anatatikana kuwa matured atleast.....point is kizazi hiki ni balaa kwakweli na nafikiri kuna kiasi fulani wanaume wetu wanachangia hali kwa kutolerate hawa wabebs. Kuna watu kabisa akikutana na swaga hizo anajua ameopoa mbebs wa kishua