wakuu hawa jamaa ni matapeli sijawahi ona. Mbona hawatoi majina kama walivyotoa majina ya shortlisted kwa ajiri ya written. Ni wezi waubwa. Mara wengine wanasema walipigiwa , mara wengine wanasema wakishaajiri kitambo.... sasa ukweli ni upi? Nchi hii urasimu ni wa hali ya juu hasa katika taasisi za umma.