Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,255
- 113,668
A wedding is for a day but marriage is forever [at least in theory].
Think....
And a very happy hump day to all y’all!
Think....
And a very happy hump day to all y’all!
First seat. Thank you sir
Hahahahahahhahahahahaaa
What about St. Lawrence.....
Cockroach Monkey Ngabuu akunywa choda a baba.
That's naked truth ears hate to hear...A wedding is for a day but marriage is forever [at least in theory].
About what. ....For Kasie, she can't think about........Think....
And a very happy hump day to all y’all!
kasie inaonekana kombolela umezicheza sana, sijui km papuch yako iliachwa salamaHii picha yako mshana imenikumbusha mchezo tulicheza tukiwa wadogo. Tulikuwa tunashukana hivo marafiki wawili halafu tunaanza kuimba.....
I will fatabee fatabee
Namtafuta rafiki rafiki rafikii
Rafiki yako naani naani naanii
Rafiki yangu Meendee Meendee Meendee
Huu mti gani, wa mchongoma
Nikiukata haukatiki
Hata kwa panga, haukatiki
Hata kwa shoka, haukatiki.
Tangu Magufuli aanze routes za kunitembelea Bandari ukanikimbiaTooobaaaaa, wa reeediiiiiiiiii, hahahahhahahahaha ulijificha wapii? Nilikusaka kila kuna ya mji sikukupata.
Naanzaje kukutoroka wakati nilikata ticket ya Joberg wewe ukakata ya Cape Town. ......
Mzima lakini
Watakuelewa wachache ila wapenda mi shoooooofuuu hawatokuelewa!A wedding is for a day but marriage is forever [at least in theory].
Think....
And a very happy hump day to all y’all!
Tena ya kasie Lazima walionja hata kichwa tu! Utoto raha sanaaaa!kasie inaonekana kombolela umezicheza sana, sijui km papuch yako iliachwa salama
kasie inaonekana kombolela umezicheza sana, sijui km papuch yako iliachwa salama
Tangu Magufuli aanze routes za kunitembelea Bandari ukanikimbia
Umesahau wewe ndo ulifungua dimba kwa kuonja kichwa tuu....Tena ya kasie Lazima walionja hata kichwa tu! Utoto raha sanaaaa!
Namtafuta rafiki rafiki........
Very soon nitaanza shopping za ParisHahahahahhahaa weeweee
Naogopa kutumbuliwa mfanyakazi hewa, hapo lazima nijifiche. Akiacha kiwafanyia ziara ya kustukiza ntakuja kila siku.
Mi acha kabisa, asije binamu, sijui mtoto wa bam kubwa nyumbani kusalimia. Lazima nimlambee.Yeah komborela nimelicheza sana, hata mchezo wa kibaba baba na kimama mama nimeucheza sana, vichupa nimecheza, tobo bao, kula mbakshie baba, albastini, karata za makonzi n.k.
Wakati wetu tulicheza watoto wa kike kwa wa kiume na hatukuingiliana maungo yetu kabla ya kubalehe. Bikra ya Kasie ilitolewa baada ya kumaliza elimu ya juu ya sekondari aka A level. Hivo huko chini kooteee nilicheza na wanaume kibao na saa ingine zile sleep over kwa shangazi au mjomba unaweza kuta kumekutana watoto kibao usiku kulala tunachanganywa watoto wote wa kike kwa kiume chumba kimoja na hakukuwa na athari za zote zile.
Vipi wewe ulianza kukojolea wenzio mapema hiyo ya kucheza komborela. Au bado ulikuwa unakunywa maziwa kwa kikombe kile cha plastiki chenye mishikio miwili na kifuniko kwa juu?
Kasie Mhenga Matata.
Very soon nitaanza shopping za Paris