Mi acha kabisa, asije binamu, sijui mtoto wa bam kubwa nyumbani kusalimia. Lazima nimlambee.
Afu nilikuwa jasiri, kuna kamoja nakumbuka nikiwa darasa la 5 kalikuwa katoto ka Mjomba, sasa ile usiku yeye chumba chake peke yake, mwanaume nikajikaza kwa kunyata kwenye korido kumfata. Sasa ule mlango ulikuwa hauna kitasa ila unabana wenyewe na ukiufungua unapiga kelele.
Ile nafungua tu, akashtuka na kupiga kelele wakizania ni jini. Usiku huo kabla hatuja lala tulipigiwa hadithi za majini.
Nilikimbia mbio kitandan, sikumpata tena kwanin kesho yake alirudi kwao.
Nilikuja mwadithia tushakuwa wakubwaa alichekaa balaaaa.
Kimeolewa sahivi
A wedding is for a day but marriage is forever
unataka wedding au marriage ngabu?Yes ma’am.
unataka wedding au marriage ngabu?
ok nitakutafutia mchuchu wa hatareMarriage baby!
ok nitakutafutia mchuchu wa hatare
ahaaaaaa chiz wewe? awe wa gharama kwani wewe baba yake?Napenda awe mnene mnene hivi halafu asiye wa gharama.
Rich Nigga baby......that’s what’s up hahahaaa
ahaaaaaa chiz wewe? awe wa gharama kwani wewe baba yake?Napenda awe mnene mnene hivi halafu asiye wa gharama.
Rich Nigga baby......that’s what’s up hahahaaa
A wise word indeed....A wedding is for a day but marriage is forever [at least in theory].
Think....
And a very happy hump day to all y’all!