Woow..!!! Today it's my Birthday, HBD Mondray...

Kuna watu wengine huwa tunapeleka zawadi idadi sawa na umri wa mlengwa.

Mfano: Mwaka mmoja n sh. 5000. Kwahyo mkuu nije na pesa kiasi gani?
 
May God Our Lord continue to pour His blessings to you and your descendants,live long..
 
Ilikua saa 10.45 jioni siku ya Jumanne Tarehe 10 mwezi 6 Mwaka 199... Ambapo Mwenyezi Mungu Kupitia Gumbo la mama yangu aliweza kumleta kijana Mpole, Mtulivu, asiye na makuu katika dunia hii..
Wazazi wake walimuita Mondray.

Namshukuru mwenyezi Mungu na wazazi wangu kwa kunilinda na kuniongoza katika maisha yangu..
Mungu anijalie miaka 99 zaidi..

******
UJUMBE WA LEO..
Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenz ukimwacha na hamu.

Wanga basi UKIMWI unatosha.
Mtoto mtulivu!!!!hahaha ungekuwa mtulivu usingekuwa unalishwa ban.

Yani wewe ni mtundu na mkorofi kuliko kawaida.nahis mama asingekuzaa wewe basi angesumbuliwa na tumbo la mchango.

All in all..happy birthday toto tundu.makopa kopa yakutosha yakufikie
 
Nimependa hapo wanga basi ukimwi unatosha. Happy Bday Mondray
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom