Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,882
- 2,813
Universal recipient https://allafrica.com/stories/201609200087.htmlSisi kuwapa msaada hatujaanza juzi, hata kipindi kile cha mgomo wa madaktari tuliwapa msaada wa madaktari, we are longtime donor country
Tanzania kupitia shirika lake la misaada la kimataifa litawafikia wakenya msihofuUniversal recipient https://allafrica.com/stories/201609200087.html
Wapelekeeni Waturkana chakula nao wawasaidie kusugua wake zenu waache kuingiza vitu vya ajabu mle ndani. UNDUGU NI KUSAIDIANA.Tanzania kupitia shirika lake la misaada la kimataifa litawafikia wakenya msihofu
Mnataka kusaidiwaje sasa??... Wapelekeeni waturkana chakula nao wawasaidie kusugua wake zenu waache kuingiza vitu vya ajabu mle ndani. UNDUGU NI KUSAIDIANA.
Acheni kulima maua kwa ajili ya wazungu limeni chakula kwa ajili yenu.Baada ya kugundua kwamba baadhi ya maeneo nchini Kenya yanakabiliwa na baa LA njaa ,serikali ya nchi jirani imeamua kutoa msaada kwa nchi zingine ikikusudia kufanya wakenya waone wivu. Mbona hawakutoa msaada hapo mbeleni? Wameamua kutoa leo ili kutafuta kiki na kuwacheka waKenya.
Anyway, for the trolls, lemme remind you that Kenyans are resilient people.
They always rise whenever they fall.
Hahahaha, unanichekesha sana. Kwa njaa waliyonayo hata ukiwapa Viagra hawawezi kusimamisha, usicheze na njaa Wewe. Ila ninamuomba Magufuli awaangalie Wakenya kwa jicho la huruma.. Wapelekeeni waturkana chakula nao wawasaidie kusugua wake zenu waache kuingiza vitu vya ajabu mle ndani. UNDUGU NI KUSAIDIANA.
Eti vitu vya ajabu wanaingiza ndani, wapi? Ebu nieleweshe kwa kina..ndani wapi?. Wapelekeeni waturkana chakula nao wawasaidie kusugua wake zenu waache kuingiza vitu vya ajabu mle ndani. UNDUGU NI KUSAIDIANA.
Hahahaha kama wanazaana wakiwa na njaa mkiwapa chakula waatawashughulikia hao dada zenu ipasavyo.Hahahaha, unanichekesha sana. Kwa njaa waliyonayo hata ukiwapa Viagra hawawezi kusimamisha, usicheze na njaa Wewe. Ila ninamuomba Magufuli awaangalie Wakenya kwa jicho la huruma.
Na ninyi Wakenya mpunguze ujinga wenu wa kujifanya mnajua kila kitu na roho ya ubinafsi, ninyi mnashindana na kila nchi hapa Africa, Nigeria, South Africa, Angola, you name it.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mngesaidia watz kwanza kabla ya kusaidia majirani .watoto walaji kinyesi wangesaidiwa kwanzaHivi Kati ya jirani yako na ndugu yako wa damu wakipata matatizo, utaanza kuisaidia nani kwanza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndani ya sufuriaeti vitu vya ajabu wanaingiza ndani,wapi?..ebu nieleweshe kwa kina..ndani,wapi?
Hizi jeuri zenu ndizo zinatufanya tuwaache na kukimbilia SADC. Magufuli hiyo chakula unayopanga kupeleka Kenya, ongezea Msumbiji achana na hizi nyang'au ziendelee kufa.Hahahaha kama wanazaana wakiwa na njaa mkiwapa chakula waatawashughulikia hao dada zenu ipasavyo.
Mngesaidia watz kwanza kabla ya kusaidia majirani .watoto walaji kinyesi wangesaidiwa kwanza
Ndani ya sufuria
Wakati wenzenu wanakimbilia Zambia kupata chakula juu ya njaa. You must be one of the siliest idiot on earthHizi jeuri zenu ndizo zinatufanya tuwaache na kukimbilia SADC. Magufuli hiyo chakula unayopanga kupeleka Kenya, ongezea Msumbiji achana na hizi nyang'au ziendelee kufa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, unanichekesha sana. Kwa njaa waliyonayo hata ukiwapa Viagra hawawezi kusimamisha, usicheze na njaa Wewe. Ila ninamuomba Magufuli awaangalie Wakenya kwa jicho la huruma.
Na ninyi Wakenya mpunguze ujinga wenu wa kujifanya mnajua kila kitu na roho ya ubinafsi, ninyi mnashindana na kila nchi hapa Africa, Nigeria, South Africa, Angola, you name it.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha endelea kuota ndoto za mchana, 80% ya chakula kinachozalishwa Tanzania hutokea mikoa iliyopakana na Zambia, kamwe haitokaa itokee Mikoa hiyo ukumbwe na uhaba wa chakula.wakati wenzenu wanakimbilia Zambia kupata chakula juu ya njaa....You must be one of the siliest idiot on earth
View attachment 1049724