Women with higher IQ's...

does a ''tag'' to you means she has high Q??

does a ''tag'' to you imply nimetumia positivity zake kama ni high IQ?

FYI:I JUST NEED TO READ HER PERCEPTION ON THIS....
BTW:HUYU SI MKEO????AU MMESHAACHANA...???
She is mine, nilichofanya ni kukupa challenge wewe kwamba kwa sababu hata wewe kuna misimamo yake baadhi hukubaliani naye so why usichukulie hiyo ndio poor IQ Yake?

Lara hatukukutana barabarani she mean a lot to me.
 
Ni kweli aisee, inakuwa taabu kweli mwanamke mwenye iq kubwa kupata mwanaume mwenye akili kumzidi. Na ni raha kweli ukibahatisha anaekuzidi akili, unakuwa unadeka tu!
 
Cc Tyta! See my charm? IM A MENS LADY! The problem with jf men mnadhani haya makavu nawapa mnajua na chumbani ni hivo hivo MNASAHAU NIMEKUA NA WAZARAMO SO ELIMU YA KUMTEKA MWANAUME MIE SIBAHATISHI!
 
Last edited by a moderator:
Tena single LADIES WANAMTOLEA MACHO BALAAA! Ukizingatia alishaolewa na kuzaa she doesnt deserve that HOT MAN!

Lara 1 mbona member wamekutag sana umeshafanya check up ya IQ.. Yako...?
 
OFCOURSE ITS TRUE HATA KWENYE BENDI UKIPATA NYOTA UNATOA ALBUM YA PEKE YAKO! Na kweli nikivomment mimi najaza traffic sababu najua kupress ya buttons ili muongee! Hahahaaaa!

IT MIGHT BE A BIT RUDE BUT ITS VERY TRUE AND STRATEGIC! Heard of COPYRIGHTS.?
 
Tena single LADIES WANAMTOLEA MACHO BALAAA! Ukizingatia alishaolewa na kuzaa she doesnt deserve that HOT MAN!

Why she doesn't deverve that Man? kwa nini unamlebo kwa kuzaa kwake na siyo uanamke wake?
 
ushanifahamu?! Ila kumpata inabidi uwe mvumilivu kweli.

Ni kweli aisee, inakuwa taabu kweli mwanamke mwenye iq kubwa kupata mwanaume mwenye akili kumzidi. Na ni raha kweli ukibahatisha anaekuzidi akili, unakuwa unadeka tu!
 
Lara 1 mbona member wamekutag sana umeshafanya check up ya IQ.. Yako...?
MY IQ HAS ALWAYS BEEN THE BIGGEST ALL MY LIFE! Si jf tu, hata ofisini wananijua MPIKA SUMU, na nikiikupikia sumu kazi lazima uache! Shule kwenyewe kwa fitna na propaganda sijambo! Basi tu bi mkubwa kanikataza kufanya SIASA lasivo hakuna ambae angeniweza kwa sumu!

Mama huwaga anawaambia wageni, be warry not to cross her path, she is not as dumb as she looks, matter of fact she is the most dangerous, akikupikia fitina humu ndani hutokaaa! Hahahaaaaa! Chokoza wooote, wanangu nimewazaa ili hio namba hapo ni namba tasa achana nayo kabisaaa! You are no match for her!
 
Why she doesn't deverve that Man? kwa nini unamlebo kwa kuzaa kwake na siyo uanamke wake?
THAT MAN IS WAY TOO HOT FOR A DIVORSED MOTHER OF 1. She had her time with her first husband, now its time for others to shine too! Aaaaaah! But she got him anyway! Life is really a bit.ch and the man is crazy about her kid! Aaaaaaaaaaaaaw! Some people are just blassed!

What was that cra.p about IQ again? Hahahaaaa! Mrs Leo ulikurupuka men!
 
Like like like
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…