Women: When is it OK to go braless?

Lakini mikuki ina raha yake mamii, especially unapokuwa na baba mruhusiwa vyote.

sawa lakini mkiwa ndani kwenu ndugu yangu, huku nje inabidi mikuki idhibitiwe laa sivyo na kuna mijitu ambayo hutafsiri kwamba na yenyewe imeruhusiwa japo kunusa...itaanza kukodoa mimacho eti kuona si kuchukua...macho hayana pazia, na nini sijui...
 
agika,

maelezo yako yana ukweli kwa asilimia kubwa, nimeishawasikia akina dada wengi hawako comfortable na vifua vyao na hasa wale walio kwenye extremes (kama wana vifua vikubwa sana ama vidogo sana).

nina maswali kidogo kwa wana jukwaa la mahusiano na mapenzi, maswali yametokana na mada ya Mh. Kaizer kuhusu bra na hatimaye likaja swala la size + shape ya vifua:

... inakuwaje msichana wa miaka 14/15 au 16 unakuta ziwa lilishalegea as if alishanyonyesha watoto 2 au zaidi? ni maumbile tu ama kuna kitu cha ziada?

... akina mama ambao huwa wanafika mpaka age ya 40s na bado maziwa yao yako saa sita (yako firm), ni maumbile tu ama kuna kitu cha ziada ambacho huwa wanafanya.

... nimeishasikia kwamba baadhi ya akina mama/dada huwa wanagoma kuwanyonyesha watoto wao ili maziwa yao yabaki firm (saa sita) miaka yote, kuna ukweli wowote kwenye hiyo claim?
 
We mtoto leo umeamkia upande gani? Lol! Yakishakuwa kandambili kama kawaida yetu tunaingia mitini. Shauri yako we yatoe tu. Utajajuta kabla umri haujafika.


na achanje mbuga kabisaaaa waiii sio wa kihivyo mie.
 
Kaka/Dada kimey............ shikamoo kaka/dada yangu.

Samahani naweza kukuconvince ukaondoa hiyo picha kwenye avatar yako? Samahani lakini
ila kama haiwezekani basi kaka/dada ila Mi huyo mdudu mh hapana
Poa mamie nimekuelewa ngoja nimtoe ila mi nampenda!!
 

Haya mwakwetu, tuambie uko kundi gani tuanze kupiga jaramba.
 
Mwana Haki

How do your perceive/feel ukimwona mdada anatembea braless?

Mimi binafsi mdada akiwa na ziwa lililo firm (sio zile kandambili) wakati wa jioni, huwa anatamanisha sana akiwa braless, lakini sio mchana jua kali anakatiza Samora au usiku anaonyesha kandambili zake, aaahhh disgusting
 
Mimi binafsi mdada akiwa na ziwa lililo firm (sio zile kandambili) wakati wa jioni, huwa anatamanisha sana akiwa braless, lakini sio mchana jua kali anakatiza Samora au usiku anaonyesha kandambili zake, aaahhh disgusting

awe na sifa kama hizo hapo juu, lakini hapo kwenye nyekundu inatakiwa iwe mchana alafu kawe kamepigwa kaTOP cheupe translucent alafu kuwe na tunyunyu twa wastani alafu kawe kamelowesha hako kaTOP sehemu ya kifua, mwanangu unaweza kuunga mkia umbali mrefu tu
 
...
Do you find braless women sexy or not sexy compared to 'unexposed' boobs? What are the limits kwa upande wetu kibongo bongo?

nakaribisha maoni....leo sijui nimeamkia wapi

...mleta hoja umezua mambo hapa. Siku hizi naona umeingia mtindo mpya wa kukibana hicho 'chakula cha mtoto'...kama bibie Jessica Alba hapa anavyoonbekana, seriously mimi nakuwa so disgusted mwanamke akivaa hivi... sipendezwi kabisa!



...kidogo kidogo ujinga huu nao unahamia kwa wanaume, unakuta jitu zima kwa kigezo cha 'michezo' linavaa tights zinazoonyesha 'majipu' yake!

 

Mkuu Keil mi binafsi naamini suala zima la maziwa ya kina dada ni maumbile zaidi (geneiti make up) so that explains kwa nini akiwa na 16 years anaonekana mtu mzima na wa miaka 40 pia anaonekana bado mtoto

ila hilo la kukataa kunyonyesha nadhani ni kweli manake siku hizi imeubuka mtindo mtoto hata hajajua maziwa ya mama yake zinatafutwa sababu za kumwachisha...utasikia 'amekataa mwenyewe' kumbe wapi ni mbinu tu!
 
Mkuu Mbu hapo juu ndo tunaita 'kutegana' (cleavage) kwa wale 'wanaojiamini', na naamini kabisa hapo akikutokea ni flirting tu anafanya.....sasa mkuu bado hapo unakuwa 'disgusted'.....
 

kuanguka au kutokuanguka ni suala la kimaumbile/genetic zaidi kuliko kuvaa au kutokuvaa bra.Kuna ambao wamenyonyesha watoto kadhaa na bado wako bomba.Kuna ambao hawajazaa achilia mbali kunyonyesha tayari yameshakuwa malapa!
Mungu ameumba tofautitofauti.Ila kujitunza nako kunasaidia -fanya yafuatayo kuyakinga matiti yako:
- kuyapa support pale panapohitajika - wakati wa mazoezi na shughuli zitakazoyatikisa
- kutokuyavalia khanga za kifuani,
- kulala mlalo usioyakandamiza - ukiweza lala chali
- kutokuyatumia bila mpangilio ( kina kaka na nyie akina dada nadhani mnanielewa).
 

Ya kwako yakoje mamii, kama unaona aibu kujibu hadharani, ni PM basi
 
Mkuu Mbu hapo juu ndo tunaita 'kutegana' (cleavage) kwa wale 'wanaojiamini', na naamini kabisa hapo akikutokea ni flirting tu anafanya.....sasa mkuu bado hapo unakuwa 'disgusted'.....

Hommie bana! Mitego siyo?
 
sredi za leo ,dah!kazi haziendi kabisa kwa jinsi sredi zilivyo za zamani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…