masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,572
- 20,151
ki ukweli sipendi utoto nikiwa na date mtu
naonaga wanasema mimi mkalinlakini mimi hushangaa zaidi maana una mdate mtu mmelalanusiku anaamka kuchat yupo busy like hell
jamani kamanuna hitaj huo uhuru kwanini ujiingize kwenye mahusiano/ndoa ????
wat for????
ujanja wangu wote na utundu siijui badoo
hivi ikoje???
kamaninsta?
Afadhali wewe hata insta unaijua. Mi hata twitter sijui website yake ikoje
Women knows?
Or
Women know!!!
Hahaha Date ama ndoa, unaongelea nini hapa dada?
Afadhali wewe hata insta unaijua. Mi hata twitter sijui website yake ikoje
Maofisini siku hizi kupakatana,kukumbatiana bila sababu eti wanaenda na wakati imekuwa kawaida
Nakubaliana na mleta uzi;kuna vitu kila mwanandoa anatakiwa kuviacha baada ya kuingia ndoani tena vingine vya ziada kulingana na aina ya mwenzi uliyenaye
am seriousHahaha you got jokes Ma'am, you really do.
naongelea mahusiano ya kudumu yanayopelkea ndoa na ndoa yenyewe
Damn I miss yuuuuuu
Afadhali wewe hata insta unaijua. Mi hata twitter sijui website yake ikoje
am serious
Kabisa yani. Sijui twira ikoje.mh usiniambie hukuwahi hata kuchukua two minutes kuingia wwwdottwitterdotcom!
I believe you.