Women Drivers

Women Drivers

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,341
Reaction score
15,829
image.axd
 
Wanapaki magari vizuri maana mengine ya melala mengine yanafanya mazoezi eeee hawa sijui wawapi lol!
 
duh, kuna ishara yyte kwamba ni women hapo?
 
yanaselebuka, yamesha pata ulabu.
 
penye ukweli uongo hujitenga. kati wa wanawake na wanaume nani yuko na driving makini? acheni hizo vidume nyie eboooooo!
 
Naamini ghadafi hakuwa mjinga kuwa tumia hawa mama zetu ,acha kupotosha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom