Haya uliyoandika sio yanayofanywa na wanawake. Wanawake wanachoomba ni kupendelewa because they can not compete with men. Mfano Kwa sababu wanawake wengi walikuwa hawawezi kuendelea na elimu ya sekondari, wanafaulishwa kwa viwango tofauti. Pia kwenye viti vya ubunge, kwa sababu mwanamke hawezi kushindana na mwanaume ndio maan mmepewa viti maalumu.
Mi naona mbadilishe tu msemo kwamba tunaomba wanaume wawe wanatupendelea na sio kuomba haki sawa. Halafu mbona hizo haki sawa mnazitafuta kwa kufanya mambo wanayofanya wanaume. Mnatamani kuwa wanaume?????!!!!!

Wanaume kweli wamekili kwamba ni wadhaifu kwa shetani ndio maana wanazidi kumuomba Mungu
Kabla sijaanzisha huu mjadala, naomba wanawake wote wa JF wanisamehe kama mada hii itawa upset in one way or another.
Mimi binafsi kuna kitu kinanichanganya sana kuhusu wanawake ndio maana nikaona si vizuri kuumiza kichwa peke yangu ila niilete hii mada hapa Jamii Forum ili niweze kupata mawazo ya wadau kwa sababu inawezekana mtazamo wangu si sahihi.
Hivi wanawake wanaposema wanadai haki sawa, wanamaanisha nini exactly. Wanadai haki au upendeleo.
Nikianza na biological point of view, wanawake wanafahamika kwamba wapo weak!. sijakosea, ndio hivyo kwamba wapo weak katika mambo mengi mfano akili, nguvu, n.k
Tukija kwenye Biblical point of view, mwanamke aliumbwa kutoka kwenye ubavu wa Adamu na Mungu alimuumba mwanamke baada ya kuona kwamba Adamu ni mpweke hivyo akamfanyia msaidizi wake. Hii iina maana kwamba mwanamke ni sehemu ya mwanaume na sehemu sidhani kwamba ni sawa na kitu kizima.
Nikiangalia kwa makini katika huo mchakato wao wa kudai haki sawa, naona kwamba hawadai haki sawa ila wanajaribu kuua feminism kwa kuiga mambo wanayofanya wanaume. Ukisoma hesabu utajua kwamba a negative number and positive number cancel each other when they have equal values and a negative number becomes more strong when it is more negative and the same way for a positive number. This means women make men stronger by becoming more weak themselves.
Halafu katika huo mchakato wa kudai haki sawa, mbona hawadai haki sawa ila wanadai kupendelewa????! kwa nini? Mfano wanawake kufaulu kwa asilimia ndogo, kupewa upendeleo vyuoni, makazini, uongozini na sehemu nyingine bila kuwa na sifa thabiti. Je hiyo ni haki sawa???
Siku hizi wametuingilia hadi kukojoa. wanakojoa huku wamesimama?? Makubwa
Lakini kwa nini dini kama nyingi kama si zote zina mfumo dume? Nimejaribu kufanya kautafiti kadogo na kugundua kwamba viongozi wa juu kabisa katika dini nyingi huwa ni wanaume.
Kwa mfano sijawahi kuona mahala popote pale kama kuliwahi kuwepo na papa wa kike....na hata siku moja sijawahi sikia eti kuna shehe wa kike. Hivi ni kwa nini hii?
Ndo kusema kwamba dini nazo zinashiriki katika kukandamiza jinsia ya kike? Halafu sasa utakuta waumini wengi kweli ni wanawake...

Mungu Baba,....unataka ushahidi gani tena?
Wanawake wameainishwa mata nyingi kama njia ya shetani kupitia wako karibu na shetani kwa ufupi most ya wanawake na shetani ni washikaji long kitambo
Rafiki wa kwanza wa shetani alikuwa mwanamke

Unajua mwanamke shetani! sometimes we come to know that shetani alitudanganya at the moment tumeshafanya dhambi. Men are so sorry for that

Binafsi i love women hasa hasa wale light skinned tena sana tu hawa viumbe bana acha tu....

Wanawake wameainishwa mata nyingi kama njia ya shetani kupitia wako karibu na shetani kwa ufupi most ya wanawake na shetani ni washikaji long kitambo

Rafiki wa kwanza wa shetani alikuwa mwanamke
Kisha ukaona aah isiwe tabu ukajibu mapigo hapa.Hehehe...hamna cha mpambano wala nini.Ndo nimeshamaliza hapo!
HalafuNani aliyekuambia kwamba kutafuta haki sawa ni kithibitisho cha kuwa dhaifu?
Wanaotafuta haki sawa wanafanya vile kuondokana na ukandamizaji/mfumo dume kwasababu wanaamini kwamba hata wao ni strong enough kufanya yale ambayo wanaonekana hawawezi e.g kufanya maamuzi binafsi. Sasa kama tafsiri yako ya mtu kuonyesha kwamba hayuko unavyomdhani ni kuwa dhaifu nahitaji darasa la kiswahili.
Hivi wewe unaelewa maana ya haki sawa?!Je tofauti kati ya HAKI SAWA na USAWA?!
Nna imani kwamba ungekua unajua hicho ulichoongea hapo juu ungekiona hakina mshiko!!Na kuhusu kulinganisha upendeleo na usawa kunatoka wapi?! Ina maana mwanamke akiomba kazi kwenyr construction site nae abebe zege kwasababu uwezo huo anao atakua anaomba upendeleo?! Akitaka awe anafanya maamuzi muhimu yanayomhusu mwenyewe anaomba upendeleo?! Akitaka kuwa rais akagombea kama wengine na kushinda kihalali anakua amependelewa?!
Jaribu tena maana mpaka ulipofikia sijaona ukithibitisha madai yako!
Huoni kwamba kama tukikubaliana na hiyo thiori hapo kwenye nyekundu, tutakuwa tunatilia nguvu hoja ya kuwa wanawake ni viumbe dhaifu. Nasema hivi kwa sababu kama wanawake wangekuwa ni viumbe wenye nguvu kiasi cha kutosha basi isingewezekana waruhusu wanaume kuchakachua wakati wao wakiangalia tu bila kufanya chochote.

Naanza kuamini theory ya Dan Brown kuhusu the Da Vinci Code! Wale mitume walimchakachua Maria Magdalena haki yake ya kuongoza kanisa! Pia na theory ya Constantine. Na kwamba vitabu vitakatifu vikachakachuliwa kumfanya mwanamke kiumbe dhaifu. Kwanza mwili wa mwanamke pekee ni powerful weapon ndio maana ikatungwa sheria ya kuufunika. Loads of crap kumkandamiza mwanamke. The only strength men has over women is physical strength only and only that! Na kazi moja tu ambayo wanaume wanaifanya that women don't is infantry combat.

Kiujumla kukubaliana na mawazo (conspiracy theories) kuwa wanaume walitengeneza mfumo ambao unamwangalia mwanamke kama kiumbe dhaifu ni sawa na kukubali kuwa ni kweli wanawake ni viumbe dhaifu, vinginevyo wanaume wasingefanikiwa katika njama zao kama wangepambana na viumbe vyenye nguvu.

nitarudi baadaye kidogo.

Mungu mwenyewe mwanaume sasa unategemea nini....

Hizo theories sio za kitafiti they are just utopia. Maandiko matakatifu hayajachakachuliwa, kwa sababu archaeological findings zimeonesha scroll za zamani zaidi hata hawa mitume zikiwa sawa na maandiko ya leo. Do you get a concept, please?
Kwanza ulianza hivi.
Kisha ukaona aah isiwe tabu ukajibu mapigo hapa.
Halafu
Kama vile haitoshi ukaamua kurudisha vikosi vyote kwenye uwanja wa mapambano lol.
Hehehehe nilijua huwezi kuacha ipite hii. haya mpambano unaendelea lol.

Kumbuka wanaume wana nguvu moja tu kuzidi wanawake: physical strength. They obviously used force. Walikuwa wanawatandika.
You sound as if you have a grudge against men lol.

Time will tell!
But remember the women who kicked men asses in history, from Cleopatra, to Sheba, Magreth Thatcher, Golda Meir (not sure of spelling but the Israel PM in the 70s), Indra Gandhi hadi to our sister Sirleaf wa Liberia.
Ukitaka kujua nguvu za wanaume zinatumikaje, angalia DR Congo.
Kazi yao kubaka baka tu wanawake ili wazidi kuwakandamiza.
Tena wanaume ndio chanzo cha umasikini mkubwa Tanzania na Africa. Wanaachia majukumu yote ya kulea jamii kwa kina mama. Hawausiki kufuatilia mtoto anaendeleaje shuleni na shule ipi aende ili afaulu vizuri ila kazi ni kazalisha tuu multiple women na kuwatekeleza.
Weakness kubwa ya wanaume ni ubinafsi.
Wanaume wengi wa Kitanzania wakipanda cheo au kuongezwa mshahara au kuuza mavuno zaidi wanafanya nini??? Look around!
Wanawake wakipata hiyo nafasi, wanaendeleza familia zao.