Women do not love you


Tatizo lako wewe mshamba, unafikiri pesa ndiyo kila kitu. Hii ni tabia ya watu washamba.

Nyie ndiyo washamba mkipata pesa mnaenda dukani mnatafuta the most expensive thing, mkifikiri the most expensive is the best.

Na ukiwa na mentality hiyo, unajifanyia utabiri ambao unakuja kuwa kweli, pesa inakuwa kila kitu.

Yani hata mwanamke anayetaka kukuoenda wewe kama wewe ataona unatanguliza pesa, atakuona mshamba, anaweza akakupiga tu hizo pesa.

Si fala tu unaona pesa ndiyo kila kitu?

Halafu tunashindwa kuelewana, kwa sababu, katika dunia yako uliyojijengea wewe, pesa inakuwa kweli ni kila kitu.

Lakini, hilo halimaanishi kuwa ni kweli pesa ni kila kitu.

Hatuwezi kuelewana, kwa sababu tunaishi dunia mbili tofauti.
 
Kiwango cha sukari kwenye hii post kipo juu mnoo
Hapana, ni wewe tu una ugonjwa wa kisukari, daktari kakukataza usitumie sukari, hata sukari ya kawaida unaona ipo juu sana 😂😂😂

Ukweli ni ukweli tu, hata usiposemwa utabaki kuwa ukweli tu.

Bora tuuseme washamba wajijue wao washamba.
 
Sasa mzee mzima unatoka kwenye mjadala unaanza kuingia kwenye maneno ya kihuni na ya kijiweni.

Hauwezi ukanikadiria au kunifikiria mimi ni mtu wa aina gani, baki na mtazamo wako na mawazo yako na uhalisia wa mambo haujui, upo hapa kubishana bila hoja zenye uhalisia zaidi ya kejeli na maneno yasiyo na staha
 
Hakianani Kiranga ni narcissist kabisa.

We mzee mshenzi sana
 
Hujadili hoja unajificha kwenye heshima.

Wewe una deal na wanawake masikini, washamba, hawana elimu, wanautamaduni mbaya, halafu unafikiri tabia zao ni tabia za wanawake.

Hujui kuwa huo ni umasikini, ushamba, kukosa elimu na kuwa na utamaduni mbaya.

Umepigwa mpaka huoni vizuri.
 
🤣🤣🤣
Unaanza kunichambua kama unanijua vile, heshima ni muhimu huwezi ukaanza kusema nitakuwa SHOGA " Sitaki heshima yako nataka heshima iwepo hapa mtandaoni.

Kwa taarifa yako huwa sihangaiki na wanawake kama mawazo yako yanvyokuambia mpaka unaleta hitimisho lako hapa.
 
Wewe mpaka hapa ushahangaika na wanawake sana tu.

Halafu hujitambui. Wanawake kama huwataki waache tu huna haja ya kuwaandama mitandaoni.

Kwa sababu hata wakitaka chochote wanachotaka, hiyo ni haki yao ya kikatiba na kibinadanu.

Wewe unalialia nini sasa?
 
Unamlea sana huyo mzee, una ruhusu akuambie maneno makali namna hiyo?

Binafsi mimi huwa tukikutana lazima anipeleke ignore list maana huwa simpi nafasi ya kunipanda kichwani.

Aache ujinga wa kusema ana maisha nawa wakati kapuku mbeba mabox tu.

Hawa ndo wale wasukuma malimbukeni,
 
yes i agree
 
Eti,

Nimesikia na wee wapenda chapaa za kufaa kuliko kupenda mtu magutu.

Ni kweli?
Mimi napenda mtu pesa tunatafuta wote mimi na huyo mtu

Muhimu huyo mtu nimuone ana fikra nzuri I mean maono hivyo tu mkuu

Kigezo changu cha kwanza kwa mwanaume ni 🧠
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…