Ukweli ni kwamba umefanya Hasty Generalization Fallacy na Composition Fallacy.Uniambie ukweli gani ? Kwa kuongozwa na hisia eti huu uzi nina chuki na Wanawake mpaka kukupelekea kuniambia niangalie nisije nikawa shoga ?
Pole Mkuu. Itakuwa hujawahi pendwa weye."Women don't love men."
"They love benefits: your looks, your body, your money."
"The moment you stop serving their needs, they stop calling it love."
"Women don't fall in love, they consume."
"They want money and someone to clean up their emotional mess."
"And the moment you stop feeding that, they call you difficult."
"You wanna know how much a woman really cares, check her effort, not her mouth."
"Because words are free."
"Effort costs something."
"And most women are only generous with words."
Agree???
Nilikuwa nakuchemsha tu,😀 halafu suala la ku Google viwanja hayo ni mawazo yako hiyo Kumamoto nilishaijua kitambo sana kuna wakati ulishawahi kuletwa mjadala unaohusu majina kama Mbo Mpenza (Mchezaji wa zamani wa Ubelgiji) hayo maneno humu yakawa yanawekewa ******* humuWewe mshamba tu umesema mwenyewe mitaa yako Simiyu na Dar.
Huijui dunia. Ungekuwa unaijua dunia usingetoa sweeping statements za Hasty Generakization fallacy kuonesha ushamba wako hapa.
Nakutajia viwanja una Google unarudi kujiosha hapa.
Umefanya Hasty Generalization Fallacy na Composition Fallacy.Nilikuwa nakuchemsha tu,😀 halafu suala la ku Google viwanja hayo ni mawazo yako hiyo Kumamoto nilishaijua kitambo sana kuna wakati ulishawahi kuletwa mjadala unaohusu majina kama Mbo Mpenza (Mchezaji wa zamani wa Ubelgiji) hayo maneno humu yakawa yanawekewa ******* humu
Sula la kukuambia nimetemebelea Simiyu na hapa Dar hapo nilikuwa nakuchemsha tu.Umefanya Hasty Generalization Fallacy na Composition Fallacy.
Hapo hujanichemsha, umechemsha wewe.
Kwamba mwanamke awe na pesa zake akulee au??Mtoa mada nahusi kalenga mahusiano ya muda mrefu.Hela ya mwanamke ndo utembee nayo, thubutuuMtoa mada anaelezea wanawake anaowajua yeye, waliomzunguka, masikini wa mali na akili.
Jambo la kwanza kabisa ana assume wanawake wote hawana pesa.
Mpaka hapo kashafeli.
🤣😂 Me sijasema ni huyo uliyemtag mkuuNimecheka sana 😂😂😂
Umefanya Hasty Generalization Fallacy na Composition Fallacy.Sula la kukuambia nimetemebelea Simiyu na hapa Dar hapo nilikuwa nakuchemsha tu.
Halafu hapo Marekani Maryland kuna kampuni inaitwa Perdue Chicken baadhi ya Wajukuu wa founder wa hiyo company nilishawahi fanya kazi zao sana pale Zanzibar na nilishaweka uaminifu mkubwa kwao
Kuna Mzee ni Mhasibu wa jiji la Berlin ana Hotel yake pale Paje Zanzibar ni Mshikaji wangu sana
Kuna familia ya balozi wa Zamani watoto wake ni kama Mama zangu na wameolewa na raia wa kigeni
Ukiachana na connections za jamaa zangu wengine, Sina papara ya kutaka kung'ang'ania kutaka kwenda nchi za watu wakati mwenyewe nina mawazo yangu ambayo yakiwa kwenye utekelezaji naweza nikawa nasafiri nipendavyo ?
Tusichukuliane poa kila mtu ana njia zake Mzee wangu
Mwanamke wa wapi mkuu?Kwamba mwanamke awe na pesa zake akulee au??Mtoa mada nahusi kalenga mahusiano ya muda mrefu.Hela ya mwanamke ndo utembee nayo, thubutuu
Haya nimekubali ile kauli ya ku-generalize wanawake wote haina mashiko.Umefanya Hasty Generalization Fallacy na Composition Fallacy.
Hii ndiyo hoja, hujaijibu.
Hayo mengine ya Perdue chicken ni mbwembwe tu. Logical non sequitur fallacy.
Unaongeza fallacy juu ya fallacy.
Acha ubaguzi wanawake wa hayo maeneo Nyuchi zao zipo tofauti na za wale wa Mbweni, Salasala, Goba , Masaki ?Mwanamke wa wapi mkuu?
Ushaambiwa hapo juu usihitimishe wanawake wako hivi kwa kuangalia wanawake wa Kigogo na Buguruni.
Umekubali kuwa une generalize, halafu umerudia ku generalize.Haya nimekubali ile kauli ya ku-generalize wanawake wote haina mashiko.
Inaonekana wewe hoja umeichukulia kwa ujumla mpaka imekuuma umeanza kuandika maneno yasiyo na staha. Masuala ya kutuambia hatuna passport, Washamba, mara hatuijui Kumamoto, mara Mimi nina chuki na Wanawake nitakuja kuwa Shoga (Umenikosea sana) na blah blah zingine.
Ukweli ni huu Mwanamke hawezi akawa na mahusiano yasiyo na faida lakini wewe Mzee umeamua kuwa Mbishi tu. Asilimia kubwa hata huku Mwanamke akiwa anaenda kumtambulisha mwanaume nyumbani kwao lazima Mwanaume ajieleze yeye ni nani na anafanya nini ? Na hili swali mara nyingi Mama wa Mwanamke ndo huwa anauliza
Uhalisia ndio huo nani akupende jamani si ujipende tu mwenyewe heeee 😄Nimeshiba ndindindi hapa huyu Mzee anachokiandika hapa hakina uhalisia na maisha yetu hapa Tanzania