Women do not love you

Au umezunguka kijijini kwako tu na kuhitimisha wanawake wote wanaongea Kinyakyusa, kwa sababu tu wanawake wa kijijini kwako wanaongea Kinyakyusa?

Huelewi vipi kuwa wewe ndiye umefanya generalization hapa?
Nimezunguka Vijijini kwetu huko Simiyu na sehemu niliyotembelea zaidi ni Dar es Salaam tu. Naona umenizungusha dunia nzima ili kuuvuruga huu mjadala.
 
Nimezunguka Vijijini kwetu huko Simiyu na sehemu niliyotembelea zaidi ni Dar es Salaam tu. Naona umenizungusha dunia nzima ili kuuvuruga huu mjadala.
Exactly my point.

Huijui dunia halafu unataka kufanya generalization kuhusu wanawake kwa kuzunguka Simiyu na Dar.

Wewe kimsingi, kwa ushahidi wa maneno yako, ni mshamba bado katika hii dunia.

Hata Nairobi hujafika.

Msifanye generalization kuhusu wanawake wakati bado hamuijui dunia.

Ushakaa na wanawake wa Malaya?

Siyo wanawake malaya, wanawake wa Malaya?
 
Mtoa mada anaelezea wanawake anaowajua yeye, waliomzunguka, masikini wa mali na akili.

Jambo la kwanza kabisa ana assume wanawake wote hawana pesa.

Mpaka hapo kashafeli.
Ni kweli mkuu watu wengi hutoa maoni au ushauri unaokuwa influenced na personal experiences zao, lakini badala ya kueleza kwamba wanazungumzia uzoefu wao, wanageneralize kana kwamba kila kitu kipo hivyo.
 

Tajiri, hii mada yako ina uhalisia kwa kiasi kikubwa. Hakuna mwanamke atakupenda bila "kukuthaminisha". Hakuna, awe na hela au hana. Wanawake wameumbwa kupokea, ndio nature.
 
Tajiri, hii mada yako ina uhalisia kwa kiasi kikubwa. Hakuna mwanamke atakupenda bila "kukuthaminisha". Hakuna, awe na hela au hana. Wanawake wameumbwa kupokea, ndio nature.
Kuna Uncle Kiranga kanizungusha dunia nzima halafu hoja yake ya msingi sijaiona.

Mwanamke hawezi kuingia kwenye mahusiano na Mwanaume bila kuthaminisha ( Pesa na muonekano) hivi vigezo vinaangaliwa sana

Diamond alipokuwa hana hela alikuwa anaitwa Nassib Domo, sasa hivi ana lips denda yote hayo kwa sababu ana pesa, ushawishi na umaarufu
 
Ni kweli unaweza kuchallenge hoja yoyote hapa duniani na ukashinda
Kwani hata ukweli bado unaoudhaifu lakini mleta mada yoko saa hii na hiyo sio kwa binadamu tu bali hata viumbe wengine ni hivyo kiumbe jike hupendelea zaidi dume imara katika nyanja fulani
 

Hio ni fact mkuu; wanawake ni watu werevu na watu wa kujithamini sana. Mwanamke anachagua mtu bora zaidi kati ya waliopo. Hata huko mbele walipo hao jamaa, kuna wanawake wanashindwa kuwapata sababu sio level zao. 😁
Ni nature, wala sio jambo baya au geni.
 
Thank you sir
 
Jifunze kuwa na heshima basi we Mzee usitake nikuone mtu wa hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…