Wakati tunamalizia malizia siku ya wanawake duniani napenda kuwa pongeza wanawake wote kwa jinsi wanavyopambana kwa namna yoyote ile ili wajikwamue kimaisha na kuhakikisha ndugu zao, watoto wao au familia zao wanapata mahitaji Yao. Jambo moja for sure nataka kulileta kwenu Mwanamke akipenda anapenda kwel kwel jaman na mwanamke akisema it’s over na watu waliokuwa kichwa. Pake wakakubali ndugu yangu hapo ujue hata kuja kukupenda tena au the same way she used to love u. Moyo wa mwanamke n kwel umeumbwa kupenda na kwel wanapenda jaman na mwanamke akiamua kucheat kweny mapenz kwel imefikia level of extremity where she can’t take it anymore maana yeye akienda huko amepeleka kila kitu moyo , akili , roho na mwili tofauti sana na sis wanaume maana sis tunaweza cheat kwa nyegelo zetu tu tukapga goli moja au mbili fresh kabsaa na kurud zetu kwa wake zetu kimya kimya na Upendo ukawa pale pale ila kwa mwanamke akimua moyoni kwel kucheat aisee ataingia mwili mzima hata Viatu haachi nje hapo ujue ameshaondokaa Moja kwa moja hata km ulikuwa na liborooo kubwa kabsaa bado halitamfanya arudi nyuma....Guys let be careful with our woman...they deserve respect, honor , love , care and passion.... strength of woman#hii ni kwa wanawake wa chache wanaotambua mapenz ya kwel na sio pesa au muonekano wa mtu#
Jamaa sijui utafiti wake kafanyia sample ganiSio kweli kwa asilimia zote......wengi wanacheat ili wapate ulinzi(pesa)ingekuwa wanacheat for luv wasingekuwa wanatupiga vizinga
Mkuu umeongea ukwel mtupu...tatizo mtoa mada ye kasoma hii passage kwa hawa wanaojifanya ciku n washaur wa mambo ya mapenz ..pasipokujua dunia hii ya Leo mambo yamebadilikaSio kweli kwa asilimia zote......wengi wanacheat ili wapate ulinzi(pesa)ingekuwa wanacheat for luv wasingekuwa wanatupiga vizinga
Umenena mkuuWakati tunamalizia malizia siku ya wanawake duniani napenda kuwa pongeza wanawake wote kwa jinsi wanavyopambana kwa namna yoyote ile ili wajikwamue kimaisha na kuhakikisha ndugu zao, watoto wao au familia zao wanapata mahitaji Yao. Jambo moja for sure nataka kulileta kwenu Mwanamke akipenda anapenda kwel kwel jaman na mwanamke akisema it’s over na watu waliokuwa kichwa. Pake wakakubali ndugu yangu hapo ujue hata kuja kukupenda tena au the same way she used to love u. Moyo wa mwanamke n kwel umeumbwa kupenda na kwel wanapenda jaman na mwanamke akiamua kucheat kweny mapenz kwel imefikia level of extremity where she can’t take it anymore maana yeye akienda huko amepeleka kila kitu moyo , akili , roho na mwili tofauti sana na sis wanaume maana sis tunaweza cheat kwa nyegelo zetu tu tukapga goli moja au mbili fresh kabsaa na kurud zetu kwa wake zetu kimya kimya na Upendo ukawa pale pale ila kwa mwanamke akimua moyoni kwel kucheat aisee ataingia mwili mzima hata Viatu haachi nje hapo ujue ameshaondokaa Moja kwa moja hata km ulikuwa na liborooo kubwa kabsaa bado halitamfanya arudi nyuma....Guys let be careful with our woman...they deserve respect, honor , love , care and passion.... strength of woman#hii ni kwa wanawake wa chache wanaotambua mapenz ya kwel na sio pesa au muonekano wa mtu#