Woman!

Hapa aisee,

Hii ni toka enzi za wale waliotutangulia na zetu pia...Naamini hata enzi zenu itakuwa bado ni hivyo hivyo!!
sasa kama mpaka kwetu itakuwa hivo hivo watajiweza lini?
 
Here is where the whole point lies
and i guess it is worth it all the way.
😛oa😛oathanks Excellent!
In short:​
​
So simple, yet so complex
So weak, yet so powerful
So confusing, yet so desirable
So damning, yet so wonderful.
​
 
mh Women! I really do respect them, even though am one of them sometimes I just dont seem to understand them, women!!

Mj1

Naomba urudie tena...halafu kwa kidigo chetu ili nami nielewe??

Habari yako lakini......???

Ngoja nisiseme zaidi....!!

Babu DC!!
 
sasa kama mpaka kwetu itakuwa hivo hivo watajiweza lini?

Siyo kwamba ni suala la kujiweza au la...Ndivyo walivyoumbwa!

Kama vile unavyowashangaa, nao pia wanakushangaa kwamba kwa nini hujui kuwa unatakiwa kufanya kila kitu kwa kiasi ingawa hawatakaa wakwambie hicho kiasi ukipime kwa kutumia chombo gani!!
 
Not always babu, but, most of the time


Sawa Koku,

Kwa sababu wewe mwenyewe ni mdau mkuu, hata sitii neno!!

Mungu mwenyewe aliyewaumba ndiye peke yake anayewafahamu, ukizingatia kwamba wengi wao hata hawajifahamu wenyewe!!
 
What would I do with a boy?I don't wanna play mommy to a son that's not my own.

As for my daddy, ohhh HE IS A MAN, with a lil boyish charm.Just a little.

I'm sure he's grinning from ear to ear!
 
Here is where the whole point lies
and i guess it is worth it all the way.
😛oa😛oathanks Excellent!
King'asti ina mana hujaona hata point moja ya ukweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…