Those aren't women, they are girls.
Do NOT confuse the two!
Those aren't women, they are girls.
Do NOT confuse the two!
Maana yake utafute balance kati ya hivyo vitu. kwani nani alisema lazima ulalie upande mmoja?
Na @ The Boss acha matusi
Ukiendelea kulinganisha kumpenda mwanamke na kumpasua mgonjwa huto kaa uje kufaulu hata siku moja...Balance utaipata wapi wakati mgonjwa hataki kabisa na hana muda wa kueleza vizuri ugonjwa wake???
Huo si ndio mwanzo wa kupasua kichwa badala ya mguu???
Babu DC!!
Maana yake utafute balance kati ya hivyo vitu. kwani nani alisema lazima ulalie upande mmoja?
Na @ The Boss acha matusi
Hii ina ukweli haswaa..If you are a minute late, she complains it's hard to wait,
If she is late, she says it's a girl's way.
Ukiendelea kulinganisha kumpenda mwanamke na kumpasua mgonjwa huto kaa uje kufaulu hata siku moja...
Hii ina ukweli haswaa..
Those aren't women, they are girls.
Do NOT confuse the two!
na bado hapo ukimwuliza why umechelewa bado anadai unamwonea
Hii statement ngoja nipige kimya kwanza..lolall women are girls......get that....
Usiwaogope jibaba ndo zao hawa. Tena acha niongezeena bado watasema tunawaonea.