Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
Mamito umerudi? nilikumisije!!! Watu walikuwa wananionea sana humu na mada zao kama hizi za kutishana bhana.
we nimerudi jamani ndo maana breki ya kwanza ilikuwa ni kukutafuta wewe.......
Nilikumiss mi mwenyewe
mtetezi nimerudi full kuteteana