Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,622
- 10,260
Kitu ambacho hujui mwanamke hajui nin anataka, una risk unamnunulia gari mziba pancha anakuja kujilia kilaini usipoteze mda kutaka kujua Wanawake wanataka ninKwa kifupi sana elewa ivi mademu unaowapata au ulionao ni matunda ya risk unazochukua na ndio type iyo specific na mngine atapata wale ambao wako attractive na risk zake pia.
'Lazima tuambizane ukweli maana msema kweli ni mpenzi wa Mungu' in Magu's voice.....Wacha bwana!!
Kwa akili za mtoa mada ni rahisi ata kizurumu wanaume wenzake katika mishe mishe ilimradi akavimbe kwa demu wake kwamba ni risk takers aogopi kituKitu ambacho hujui mwanamke hajui nin anataka, una risk unamnunulia gari mziba pancha anakuja kujilia kilaini usipoteze mda kutaka kujua Wanawake wanataka nin
Sijui uelewa wako uko wapi? Sijasema ufanye chochote sababu ya mwanamke, nilichosema una attract wanawake wa aina flani kutokana na risk unayofanya cha msingi ukitaka kupata wa aina tofauti badilisha risks unazopitia full stop.Kujitutumua kutakupongeza note hii kitu mkuu
Yeah mzee baba! Kuishi kumuimpress mtu ni jau sanaUmeonge point Ukishaona inakubidi urisk ili umpate mwanamke unalazimisha penzi na sio level zako, upendo w kweli upo natural
Una risk unampata mwanamke alafu unakuja kushare na walamba lipsi, Wanawake hawajui nin wanochataka ndo tatizo linapoanzia hapo
Jamaa alirisk shomesha mwanamke kamaliza shule mwanamke anadai Hana hisia naye, ishi unavyoweza usifake, usifanye mambo ambayo yako nje ya uwezo wako yuko mwanamke atakupenda hivyo hivyo
Ana upeo mdogo na ni bado kijana mdogo kwa hiyo usimshangaeKwa akili za mtoa mada ni rahisi ata kizurumu wanaume wenzake katika mishe mishe ilimradi akavimbe kwa demu wake kwamba ni risk takers aogopi kitu
Tafuta hela acha izi porojo umeshajiuliza maisha bila jinsia ya pili ingekuwaje? Usitake kuniaminisha tunaishi wenyewe na either you like or not utahudumia tuKitu ambacho hujui mwanamke hajui nin anataka, una risk unamnunulia gari mziba pancha anakuja kujilia kilaini usipoteze mda kutaka kujua Wanawake wanataka nin
Kuna wengine wanataka kuishi nao kiroho ndo maana wanatafuta walokole.....Ana upeo mdogo na ni bado kijana mdogo kwa hiyo usimshangae
Wanawake ni kuishi nao kiakili ndo siri ya kudumu nao na sio kuwa risk takers
Unavyosema nitafute ela nilishakuja kukulia shida mbona unatoka nje ya mada we ni mdogo Kuna vitu huvijuiTafuta hela acha izi porojo umeshajiuliza maisha bila jinsia ya pili ingekuwaje? Usitake kuniaminisha tunaishi wenyewe na either you like or not utahudumia tu
Kijana anataka kuleta stori za kwenye tamthiliaKuna wengine wanataka kuishi nao kiroho ndo maana wanatafuta walokole.....
Kama umeshindwa kuelewa content ya nilichoandika ni kipimo tosha uelewa wako unatatizo kubwa sana na hupo tayari kuelewa bado.Ana upeo mdogo na ni bado kijana mdogo kwa hiyo usimshangae
Wanawake ni kuishi nao kiakili ndo siri ya kudumu nao na sio kuwa risk takers
Be romantic kwa mrembo wako mkuu, ubabe hata haufaiMimi sijakasirika ila natumia njia zangu mwenyewe ku deal na nyie viumbe, miongoni mwa njia hizo siyo kujibebesha gunia la misumari......kama unajibebisha hutaki kula ugali dagaa, sepa niendelee na mishe nyingine.
Mungu mwenyewe anachalenjiwa kila siku ndio mwanadamu wa hovyo asichalenjiwe,like what the fvck?
Unakosea tena kwa mara nyingine!
Thinking yako bado ni ya hovyo,still...na nakuchelenji kama ifuatavyo!
In todays life,competition does not depend on human Masculinity(muscles).....it depends entirely on Brain Power!
Kwa your stupid way of thinking basi body builder The Rock angekua tajiri zaidi ya Bill Gates asie na msuli wa aina yeyote!
Kwahiyo upumbavu wako wa muscle wa savage centuries inaonesha still your thinking process is still hujui unachoongea.
Risk activities ni zipi na according to who?
Kama kujenga pesa ni Risk Activities basi kila mwanadamu anaetafuta ugali wake wa kila siku ana qualify this nonsense you are talking about..
Wanawake wanataka SUCCESSFUL men regardless ya njia uliyopia...wewe unaongelea entirely a different thing
Acha ku-musterbate,tafute real pussy upige!
Uko sahii ndo maana kumpata mwanamke kukaitwa approach, sababu kila mwanamke anavitu vyake anavyopenda huyu anapenda hiki yule kile Sasa mtoa Uzi amegeneralize ndo hapo anapoonekana bado ni mtotoMungu mwenyewe anachalenjiwa kila siku ndio mwanadamu wa hovyo asichalenjiwe,like what the fvck?
Unakosea tena kwa mara nyingine!
Thinking yako bado ni ya hovyo,still...na nakuchelenji kama ifuatavyo!
In todays life,competition does not depend on human Masculinity(muscles).....it depends entirely on Brain Power!
Kwa your stupid way of thinking basi body builder The Rock angekua tajiri zaidi ya Bill Gates asie na msuli wa aina yeyote!
Kwahiyo upumbavu wako wa muscle wa savage centuries inaonesha still your thinking process is still hujui unachoongea.
Risk activities ni zipi na according to who?
Kama kujenga pesa ni Risk Activities basi kila mwanadamu anaetafuta ugali wake wa kila siku ana qualify this nonsense you are talking about..
Wanawake wanataka SUCCESSFUL men regardless ya njia uliyopia...wewe unaongelea entirely a different thing
Acha ku-musterbate,tafute real pussy upige!
Ukiwa romantic mnakuwa na nyodo sana nyie, saa hivi ni mwendo wa kuwaburuza tu, ukizingua unachezea kichapo.....Be romantic kwa mrembo wako mkuu, ubabe hata haufai
Rudi kwa professor Peterson sikiliza lecture zake vizuri ndo uje uandike hapa,, usikurupukeAre you challenging my intelligence young boy? Kwamba sijui tofauti ya Risk and Success? [emoji16] Funny! Nikusaidie kidogo hapo the outcome of Risk is Success sasa sijui unataka kusema unaokota hela kwenye mti..
Life is competition and masculine men thrive on it. If you want to get ahead, and have the best life possible, you have to take on risky activities to achieve this.
You cannot be a top 1% man(Success men) , without taking on significant risk.
We ni bado dogo janja unataka kuleta drama za kwenye tamthilia kwenye real life utafeliKama umeshindwa kuelewa content ya nilichoandika ni kipimo tosha uelewa wako unatatizo kubwa sana na hupo tayari kuelewa bado.
Nime generalize tena na nimekuwa specific kwenye risk takers..Uko sahii ndo maana kumpata mwanamke kukaitwa approach, sababu kila mwanamke anavitu vyake anavyopenda huyu anapenda hiki yule kile Sasa mtoa Uzi amegeneralize ndo hapo anapoonekana bado ni mtoto
Na ww umeshindwa kujua maana ya masculinity,, sio physical entirely, but its forcing your way in,, sio by knocking the door politely but entirely out of hinges,, in a hustling way lakiniMungu mwenyewe anachalenjiwa kila siku ndio mwanadamu wa hovyo asichalenjiwe,like what the fvck?
Unakosea tena kwa mara nyingine!
Thinking yako bado ni ya hovyo,still...na nakuchelenji kama ifuatavyo!
In todays life,competition does not depend on human Masculinity(muscles).....it depends entirely on Brain Power!
Kwa your stupid way of thinking basi body builder The Rock angekua tajiri zaidi ya Bill Gates asie na msuli wa aina yeyote!
Kwahiyo upumbavu wako wa muscle wa savage centuries inaonesha still your thinking process is still hujui unachoongea.
Risk activities ni zipi na according to who?
Kama kujenga pesa ni Risk Activities basi kila mwanadamu anaetafuta ugali wake wa kila siku ana qualify this nonsense you are talking about..
Wanawake wanataka SUCCESSFUL men regardless ya njia uliyopia...wewe unaongelea entirely a different thing
Acha ku-musterbate,tafute real pussy upige!
Ha haaa, pole kwa mrembo wakoUkiwa romantic mnakuwa na nyodo sana nyie, saa hivi ni mwendo wa kuwaburuza tu, ukizingua unachezea kichapo.....