Woman love Risk Takers

Wewe umebeba risk zako huko, mwisho wa siku unakuta anamegwa kimasihara na masela........
Hiki ndio kinaniwazishaga sana unajitoa kwa manz af bado anapigwa nje πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mkuu nipo na wewe, usipokuwa makini na hawa wanawake utawaabudu kama mtoa mada anavyofanya sasa hivi
Mtoa mada anafaa kuigiza kwenye bongo muvi au isidingo......
 
Sasa wewe beba risk halafu ufeli ndo utawajua hao...
 
Wapi nimeonyesha kuwaabudu? Acha uoga wa maisha kijana kwa mwanaume lazima urisk ata sababu ya familia yako kama hauna sababu ya kurisk kisa unafikiri unamfanyia mwanamke basi kuna tatizo kubwa juu ya uelewa wako.
Inapobidi kufanya jambo linaloleta positive impact ntafanya ila sio ujiingize kichwa kichwa eti uoneakane kidume.
Mfano inakuja kazi ya kupokea wageni nalipwa 5000k kwa kila mgeni atakayekuja alafu nyingine kulima 70000 per heka. Kwa mentality yako utachagua kulima ili uonekane kidume si ndio?
 
Upuuzi huu, yaani niingie kwenye majanga kuridhisha nyapu ambazo haziridhiki wala hazina shukrani......kila mwanaume atumie njia zake ku deal na hizi manzi, tusitiane ujinga...
Sasa makasiriko ya nini jamani? Ndio mlishaumbiwa sisi, hivyo punguza tu makasiriko hayatosaidia.
 
Sasa makasiriko ya nini jamani? Ndio mlishaumbiwa sisi, hivyo punguza tu makasiriko hayatosaidia.
Mimi sijakasirika ila natumia njia zangu mwenyewe ku deal na nyie viumbe, miongoni mwa njia hizo siyo kujibebesha gunia la misumari......kama unajibebisha hutaki kula ugali dagaa, sepa niendelee na mishe nyingine.
 
Are you challenging my intelligence young boy? Kwamba sijui tofauti ya Risk and Success? [emoji16] Funny! Nikusaidie kidogo hapo the outcome of Risk is Success sasa sijui unataka kusema unaokota hela kwenye mti..

Life is competition and masculine men thrive on it. If you want to get ahead, and have the best life possible, you have to take on risky activities to achieve this.

You cannot be a top 1% man(Success men) , without taking on significant risk.
 
Kwa kifupi sana elewa ivi mademu unaowapata au ulionao ni matunda ya risk unazochukua na ndio type iyo specific na mngine atapata wale ambao wako attractive na risk zake pia.
 
Kwa kifupi sana elewa ivi mademu unaowapata au ulionao ni matunda ya risk unazochukua na ndio type iyo specific na mngine atapata wale ambao wako attractive na risk zake pia.
Kujitutumua kutakupongeza note hii kitu mkuu
 
Just to make her satisfied? Mwisho wa siku utaweka rehani marinda yako sababu demu akuone shujaa ili akupe nyapu!πŸ˜…

Siku wanawake wakiwa na Patent rights basi naweza nika risk kwa ajili yake!
Umeonge point Ukishaona inakubidi urisk ili umpate mwanamke unalazimisha penzi na sio level zako, upendo w kweli upo natural

Una risk unampata mwanamke alafu unakuja kushare na walamba lipsi, Wanawake hawajui nin wanochataka ndo tatizo linapoanzia hapo

Jamaa alirisk shomesha mwanamke kamaliza shule mwanamke anadai Hana hisia naye, ishi unavyoweza usifake, usifanye mambo ambayo yako nje ya uwezo wako yuko mwanamke atakupenda hivyo hivyo
 
Mimi sijakasirika ila natumia njia zangu mwenyewe ku deal na nyie viumbe, miongoni mwa njia hizo siyo kujibebesha gunia la misumari......kama unajibebisha hutaki kula ugali dagaa, sepa niendelee na mishe nyingine.
Wacha bwana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…