Umeelewa lakini? Punguza hasira za maisha kijana. Hamna kulipo semwa urisk sababu ya mwanamke, kama maisha yako kila siku sio risk basi hauna unachofanya katika maisha yakoUpuuzi huu, yaani niingie kwenye majanga kuridhisha nyapu ambazo haziridhiki wala hazina shukrani......kila mwanaume atumie njia zake ku deal na hizi manzi, tusitiane ujinga...
Nionyeshe hiyo pisi kali ambayo naweza kujilipua kuvamia benki nipate mapene ya kuiridhisha, au ni wewe mwenyewe......Umeelewa lakini? Punguza hasira za maisha kijana. Hamna kulipo semwa urisk sababu ya mwanamke, kama maisha yako kila siku sio risk basi hauna unachofanya katika maisha yako
Hahahaha!! Tatizo nishajua liko kwenye uelewa wako, unatambua unapotoka asubuhi nyumbani kwako ni risk tosha je unavoweka shilling laki 5 ukitegemea kupata 1M ni risk pia lakini kila mwanamke kuna aina anapenda ya risk mwanaume afanyeNionyeshe hiyo pisi kali ambayo naweza kujilipua kuvamia benki nipate mapene ya kuiridhisha, au ni wewe mwenyewe......
Great.Binafsi nimekuelewa mno.
Mkuu nipo na wewe, usipokuwa makini na hawa wanawake utawaabudu kama mtoa mada anavyofanya sasa hiviUpuuzi huu, yaani niingie kwenye majanga kuridhisha nyapu ambazo haziridhiki wala hazina shukrani......kila mwanaume atumie njia zake ku deal na hizi manzi, tusitiane ujinga...
Just to make her satisfied? Mwisho wa siku utaweka rehani marinda yako sababu demu akuone shujaa ili akupe nyapu!😅It's in their DNA to want a man who can push through risk to achieve for both himself and those close to him. The quality of women you attract will be proportional to the risks you have taken, and the rewards you have reaped.
Always have some Risk
Live your life with at least a little risk as a permanent fixture. Perhaps that is starting a business, approaching attractive women or accepting above average risk on some other venture.
You should get a buzz from this level of risk.
Great evening Comrades!!
Tatizo ni Lugha au? Wapi kumesema uchukue risk sababu ya demu? Kama hujui kutafuta hela ni risk ilo la kufanya sababu ya mwanamke ni maamuzi binafsi sio content yanguJust to make her satisfied? Mwisho wa siku utaweka rehani marinda yako sababu demu akuone shujaa ili akupe nyapu![emoji28]
Siku wanawake wakiwa na Patent rights basi naweza nika risk kwa ajili yake!
Sawa braza, kila mtu ana take risk so sio issue it has no connection na demuTatizo ni Lugha au? Wapi kumesema uchukue risk sababu ya demu? Kama hujui kutafuta hela ni risk ilo la kufanya sababu ya mwanamke ni maamuzi binafsi sio content yangu
Wapi nimeonyesha kuwaabudu? Acha uoga wa maisha kijana kwa mwanaume lazima urisk ata sababu ya familia yako kama hauna sababu ya kurisk kisa unafikiri unamfanyia mwanamke basi kuna tatizo kubwa juu ya uelewa wako.Mkuu nipo na wewe, usipokuwa makini na hawa wanawake utawaabudu kama mtoa mada anavyofanya sasa hivi
Kuwa mwanaume ni risk tosha. Kwahiyo hakuna jipya hapoIt's in their DNA to want a man who can push through risk to achieve for both himself and those close to him. The quality of women you attract will be proportional to the risks you have taken, and the rewards you have reaped.
Always have some Risk
Live your life with at least a little risk as a permanent fixture. Perhaps that is starting a business, approaching attractive women or accepting above average risk on some other venture.
You should get a buzz from this level of risk.
Great evening Comrades!!
mzee ilikuaje Tena[emoji3][emoji3][emoji3]Upuuzi huu, yaani niingie kwenye majanga kuridhisha nyapu ambazo haziridhiki wala hazina shukrani......kila mwanaume atumie njia zake ku deal na hizi manzi, tusitiane ujinga...
Wewe umebeba risk zako huko, mwisho wa siku unakuta anamegwa kimasihara na masela........Just to make her satisfied? Mwisho wa siku utaweka rehani marinda yako sababu demu akuone shujaa ili akupe nyapu!😅
Siku wanawake wakiwa na Patent rights basi naweza nika risk kwa ajili yake!
Hhahaha....wewe ni mgeni kwa hao viumbe mkuu.....halafu kuna mtu anakuja kirahisi hapa sijui ubebe risk.mzee ilikuaje Tena[emoji3][emoji3][emoji3]