LexAid
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 1,931
- 774
lazima afe nae.......ila....mimi nataka kufuga mbogo....si inafaa.......?,,,,unajua nitampata wapi.....?
Tembo ndio dili zaidi!
lazima afe nae.......ila....mimi nataka kufuga mbogo....si inafaa.......?,,,,unajua nitampata wapi.....?
Preta usije ukalogwa mbogo ni mbogo hawezi kugeuka ng'ombe hata siku moja
Unakumbuka ng'ombe wa kimeru wale walioachwa kule Mlima Meru wakakutana na mbogo huko na wakafanya mambo yao wale ng'ombe hata kuwafuga ni issue maana wana asili ile ile ya mbogo
ongea na katibu mkuulazima afe nae.......ila....mimi nataka kufuga mbogo....si inafaa.......?,,,,unajua nitampata wapi.....?
ongea na katibu mkuu
tembo mkubwa sana bana.........
Huyo ni Mnyama anayekula nyama..haaminiki ngoja afanywe mlo wa usiku huyo!
huyo ni kama mbwa, anafugika na hata siku moja habadiliki na kuwa muasi, mnyama hatari asiyetabirika na hafugiki ni chui, tembo anafugika lkn hufika muda hubadilika , kwa hiyo hapo sana sana ni hatari kwa mtu asiyemjua na pia hutegemea mafunzo aliyopewa
Lakini wanalipa...Kila mtanzania akifuga Tembo wake tutaokoa maisha yao kwa kiasi kikubwa sana. Yule mzee Ki wa Nana atashindwa kuendelea kuwamaliza.
Hivi unajua linavyonuka au unalisikia........sijui wahindi wanawawezaje........