Woman held in Hawaii after Michelle Obama threat | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Woman held in Hawaii after Michelle Obama threat

Discussion in 'International Forum' started by Ng'wanza Madaso, Dec 23, 2009.

 1. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2009
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Woman held in Hawaii after Michelle Obama threat

  [​IMG]


  [​IMG]

  AP – This photo provided by the U.S. Secret Service shows Kristy Lee Roshia. Authorities say Roshia, accused …  By MARK NIESSE, Associated Press Writer Mark Niesse, Associated Press Writer – Tue Dec 22, 5:14 pm ET

  HONOLULU – A woman accused of telling the Secret Service she would "blow away" Michelle Obama was in federal custody Tuesday as the Obama family planned to travel to Hawaii.

  Kristy Lee Roshia, 35, was charged with threatening a family member of the president and assaulting a federal agent after being arrested Saturday less than two miles from the Kailua home where the Obama family planned to stay during a holiday visit later this week.

  Roshia called the Secret Service's Boston office last month and told a receptionist, "I will kill Michelle Obama" and "I will kill Marines," according to a Secret Service affidavit.

  During the same call, she said she would "blow away" Michelle Obama, the document states.

  A message left at the federal public defender's office in Honolulu was not immediately returned.

  Roshia has a history of leaving rambling messages and sending poems, love letters and photographs of herself to the Secret Service, according to the affidavit.

  As early as 2004, she told the agency that "although her mission is to assassinate the president, she has no desire to hurt him," the document states.

  The affidavit said Roshia acknowledged to Secret Service agents before her arrest that she had threatened Michelle Obama.

  It also says Roshia said she knew where Obama would be staying in Hawaii, and the reason she had traveled to Hawaii in September was "to protect Obama."

  Roshia was also charged with lunging at a Secret Service agent, striking him in the arms and face during her arrest.

  She was being held without bail pending a Wednesday detention hearing.
   
 2. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2009
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Sasa haya watu wakimuua huyu First Lady wetu watafaidika na nini?
   
 3. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,586
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Unajua chuki dhidi ya familia ya Obama zimepandikizwa kwa kasi sana, ni wasiwasi wangu kuwa sasa watajaribu kuifanyia madhara hii familia.

  Mimi si mshabiki sana ila Yule mtabiri maarufu (Yahya Hussein) amesema baada ya Balusconi kupata kichapo, bado kimoja kizito kinakuja kitakachoitikisa nchi ya kiongozi huyo na dunia, tuombe mungu awe wrong. Mungu apishie mbali, ila wabaguzi na wapinzani wa hii familia ya Obama kuwa WH wanaiombea janga kubwa sana familia hii.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Dec 23, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,440
  Likes Received: 28,277
  Trophy Points: 280
  Bush alipotishiwa maisha hukulialia ubaguzi. Uliuchuna tu na pengine hata ungechekelea kama angedhurika. Na sitanshangaa kama ulifurahia Bush kutupiwa kiatu.

  Tuliza boli. Haya mambo huja na hiyo kazi. Hata angekuwa Hillary vitisho vingekuwepo tu. Hata raisi atakayemfata Obama naye atakuwa na vitisho. Na sijui safari ijayo kama ikitokea ni mtu mweusi ndiyo katoa vitisho dhidi ya Obama sijui utalia nini? I suspect utalialia kuwa katumwa na Wazungu.
   
 5. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Ukisoma hiyo article unaona huyu mama ni wazi ana matatizo ya kisaikolojia, wataalam wanaweza kumchunguza zaidi na kuona msaada gani anahitaji.

  Wanaotaka kumuua rais na mke wake hawasemi, wanaosema hawataki kufanya hivyo.

  Halafu kama alisema anataka kumuua rais 2004, wakati Obama hajawa rais, huwezi kusema kwamba ana racist motives per se.Utaona ana matatizo ya kisaikolojia hata kwa contradiction anayoitoa hapo chini.

  Kuna watu wana create reality yao wenyewe na hawajali facts, wengine wako na fascination ya Lee Oswald Syndrome, washashindwa maisha na hawana njia ya kuingia kwenye vitabu vya historia, basi wanataka kuingia kwa nguvu.Whether is crashing White House parties or killing a president.

   
 6. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,586
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  He we vipi?, Nyani Ngabu nini?. Kwa taarifa yako Ubaguzi ni motive kubwa kwa critics wa Obama kuliko Policies. Najua na wewe ni wale wale waliokuwa na signature "Miafrika ndivyo tulivyo" na wewe ni mbaguzi tu.

  Tuliza boli kijana mbona unaparamia gari kwa mbele?. Bush angedhuriwa ingekuwa ni positive kwa dunia, tena nilifurahia sana aliporushiwa kiatu na kwa nini sijui hakikumtoa hata meno kama Balusconi. Malipo hapahapa.

  Obama is the safety choice in America for world peace. Na wote mnaomtakia mabaya mtashindwa, jamaa atapeta. najua wewe bado upo bitter baada ya babu yako kushindwa vibaya last year. Ubaguzi wenu hautawafikisha popote zaidi ya kumuona Obama anafanikiwa, labda mumdhuru
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Dec 23, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,440
  Likes Received: 28,277
  Trophy Points: 280
  Prove it.
   
 8. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #8
  Dec 24, 2009
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,045
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Kama si mshabiki kwa nini unaamini anachosema. See the bold.
  Personally I do not believe yahaya hussein's craps by 100%. huganga njaa tu.
   
 9. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #9
  Dec 24, 2009
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,045
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145

  First Lady wako ni Salma Kikwete. Acha wehu!!!!!! Yawezekana huyo demu alishaomba kazi secret service wakamtolea nje ana chuki nao. Ameamua kuwatishia.
   
Loading...