jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,646
.Ivi n kweli Kwamba mwanaume Handsome anakubalika zaidi kuliko mwanaume mwenye pesa!! ??
Mi naona kama sio wote wanaoshoboka na pesa!! Hata kama unapesa utaishia kuliwa pesa zako buree!!
Wanawake nao Siku iz wanatamani wanaume wazuri tena wanahonga pia!! kama vile wanaume wanavochanganyikiwa wakiona mwanamke mzuri!!
Au ni mtazamo wangu tu?
Ila hivo ndio nmekua nikishuhudia!!.
Anza na maadaWe ni She ama He? Tuanzie hapo kwanza
Ha ha haaasikudanganye mtu wengi hatushobokei pesa ila tunaamini unatafuta utapata ukikaa tu ukijikuna unatoka vumbi maisha yote hakika una hatari sana! mwenye pesa akifanya mabaya utavumilia kidogo ila mnuka vumbi akizingua unasepa kabla jua kuchomoza , likichomoza vitaminD unapatia kwingine! " a cry in a boda boda is not equal to a cry in a Range rover"
yani umesema kwerisura inaweka mlo mezani? sura inapeleka watoto shule? sura inafanya shoping?
mwanaume wa sura hapendwi miaka hii ya magufuli
More than three aspects involvedIvi n kweli Kwamba mwanaume Handsome anakubalika zaidi kuliko mwanaume mwenye pesa!! ??
Mi naona kama sio wote wanaoshoboka na pesa!! Hata kama unapesa utaishia kuliwa pesa zako buree!!
Wanawake nao Siku iz wanatamani wanaume wazuri tena wanahonga pia!! kama vile wanaume wanavochanganyikiwa wakiona mwanamke mzuri!!
Au ni mtazamo wangu tu?
Ila hivo ndio nmekua nikishuhudia!!.
sula au pwesa utachaguwa fweza sura hata nyani anayosura inaweka mlo mezani? sura inapeleka watoto shule? sura inafanya shoping?
mwanaume wa sura hapendwi miaka hii ya magufuli
Okay....mimi ni henisam napenda mabombonya
Ngoja niombe ruhusa kwa mr kwanzauko tiyali kutoka na mimi
Kheee kumbe ni mchepuu! Basi nimeghairikuchepuka haiombewi luksa utaachwa