Wolves vs Manchester united ilikuwa bonge la mechi

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,725
29,087
Mzuka wanajamvi!

Mechi ya jana usiku ya premier league Uingereza Kati ya Wolverhampton vs Manchester united ilikuwa bonge la mechi.

Cha kusikitisha Wolves hakuibuka kidedea ilifungwa goli moja kwa bila na Mani licha ya kucheza vizuri kwa kushambulia kulinda na kukaba

Wolves pia katikati walidhibiti vilivyo na kufanikiwa pakubwa sana kuwadhibiti mani wasipenye.

Wolves walistahili kushinda ile mechi.

Cha kusimumua zaidi mechi ilivyokuwa inaendelea pia kulikuwa na mjadala mzuri sana jamvin kwenye jukwaa la sport kwenye uzi wa Manchester united.

Michango ya wanajamvi ilijaa nondo za kutosha na madini yalijitosheleza.

Nilipendezwa na mchango wa Mkorea. Yani alitabiri vizuri na ikatokea.👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

Screenshot_20230815-085310.jpg

Screenshot_20230815-085254.jpg
 
Nahisi hisi huyu mkorea ni mwamba adriz

Big up bro
Hii chai ,kitu pekee ambacho najivunia hapa Jf sijawahi kupata ban wala kuwa na ID nyingine zaidi ya hii japo natamani nifungue ID ya ziada kuwa ajili ya kuonyesha ukenge kwa Wagalatia na kufanya unyambisi ola naona kuwa na ID moja ndio ukalidayo yaani unaishi katika misingi yako sahihi na halisi bila maigizo.
 
Wewee Mufti kuku The Infinity unachekeshaga sana. Adrriiizzzzz kijana wa Allah
 
Hii chai ,kitu pekee ambacho najivunia hapa Jf sijawahi kupata ban wala kuwa na ID nyingine zaidi ya hii japo natamani nifungue ID ya ziada kuwa ajili ya kuonyesha ukenge kwa Wagalatia na kufanya unyambisi ola naona kuwa na ID moja ndio ukalidayo yaani unaishi katika misingi yako sahihi na halisi bila maigizo.
Screenshot_20230815-160719.jpg
 
Marefa waliohusika na hii mechi wameondolewa chezesha mechi zijazo
 
Hapa inathibitisha vipi ? mimi avatar zangu za mtu mmoja huyo pichani miaka yote na inajulikana hivyo na hiyo imekuwa kama special identify yangu humu kama kubadilisha nabadilisha location ya picha tu ,mimi nilishangaa kuona mfanano wa avatar yake hii mpya na yangu iliyopita ambayo karibia kila kitu ilifanana na hiyo ndio maana nimechange yangu.

Kufanana kwa Avatar hapa Jf kupo sana mfano avatar ya Malcom X watu wengi wanayo , nyingine ni ya DR SANTOS na Munch wa annabelletz47 zote zina mfanano japo Santos ndio wa kwanza sasa huwezi kuhusisha multiple ID kuwa kigezo hiko hiyo ni dhana tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom